Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3k per month ni very affordable kwa watu wengi sana. Hii ndo sure bet ya kumaliza informal settlements. Hope hizi nyumba zitapewa wakaazi wa mukuru
Kula tu wanakula mawe alafu watoe wapi hyo 3k, hivi unaakili wewe? Hapo ma slums ndiyo yanaenda ku triple. Vighorofa viwili alafu mnataka mmalize tatizo la slums Kenya, labda dunia iumbwe upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kenya is the real definition of slums in the world, when slums come to an end in Kenya means the Jesus will be on the way of coming back again.
 
Kwa mara ya kwanza wamefanya pavement chini ya flyover [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli JF ni shule na Tz ni mwalimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unadhani county govt ya nairobi inajua JF ni nini kilaza.., hapa wakenya hawafiki 20.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nakuru City..,
1664977949123.png

1664977991175.png
 

Attachments

  • 1664977949123.png
    1664977949123.png
    173.9 KB · Views: 22
Unadhani county govt ya nairobi inajua JF ni nini kilaza.., hapa wakenya hawafiki 20.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jiulize kwnn baada ya kuwasema humu JF kwamba mfanye pavement ma flyover yenu ndiyo mkafanya? Niletee flyover nyingine ambayo mmefanya paving kama ipo, kama hamna kaa kimya na uishukuru jamiiforums na Tz kwa ujumla. Kidogo kidogo mnapata ustaarabu japo utunzaji hamtaweza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kula tu wanakula mawe alafu watoe wapi hyo 3k, hivi unaakili wewe? Hapo ma slums ndiyo yanaenda ku triple. Vighorofa viwili alafu mnataka mmalize tatizo la slums Kenya, labda dunia iumbwe upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kenya is the real definition of slums in the world, when slums come to an end in Kenya means the Jesus will be on the way of coming back again.
Hapa umeumia, haitawai tokea Tanzania serikali ifikirie kuondoa uswazi kwa kujenga alternative well organized modern housing, yaani uswazi (nyumba za kishamba zilizo tapakaa kote kote, slum mnayo kana) ni tamaduni yenu😂😂😂😂😂😂, zinachekesha duh hehe, matokeo ya uvivu na ufukara 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Yenu hiyo moja haina seats za watu ku relax.., take notes...,
View attachment 2377922
Unadhani sisi hatuna akili kama nyinyi? Hapo wameweka viti viwili ili chokoraa wanaolala kwenye flyover walale hapo chini lkn kutokana na kukosa maarifa because of poor education you get mmeshindwa kupiga hesabu za hatari inayoweza kutokea hapo. Wakenya hamna akili.
 
Back
Top Bottom