tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kiswahili sio mchezo kabisa...ukikuta wale wataalamu wakichambua ndio utatambua mambo yalivyo ...shuleni nilikuwa gwiji wa uandishi wa insha...tuseme nimelegea kidogo ila kwa uandishi wa kiswahili mie ni sugu...kiukweli
