Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Evening walk to the Movie , Going to see Kingsman 2.

1bb7f08c9eeb5e39b74e72601c5feae6.jpg

4821aa905dc724f15b383eb8057c0212.jpg

62c06c77fa6ff011e9f6b94809318de6.jpg

going to see.....lol
 
Do you watch or see movies?
To "go see something" applies to more than just movies. One can go see a play, an art exhibition, or what's happening somewhere. It's the act of going out somewhere and looking at something. Saying "Let's go see a movie" means that that you will go to the movie theater and watch a movie. When you are actually sitting in the movie theater, you are watching the movie.

After all no one will take you to jail by saying "I am going to see the movie" so avoid being too machenical to simple things
 
going to see.....lol
acheni kuwa na fikra potofu za kijinga.
kingereza sio kipimo cha kupima intelligence ya mtu...ni lugha tu kama lugha za makabila au mataifa mengine.

laiti kama kingereza kingekuwa ni lugha ya kupima kiwango cha juu cha akili ya wanadamu,leo hii kila muingereza au kila anayezungumza kingereza angekuwa ni rocket scientist,aeronautical/aerospace engineer au neurosurgeon.
 
Unafikiri hata ni kosa?Niliwaambia hii thread imevua watu wengi nguo sana wa kaskazini. lol yaani utafikiri ni wa Stone Age, Exposure hamna Ila ni wajuaji wa kila kitu , sasa Mwambie ashushe mambo kuonyesha to see a movie is wrong Ndio uone.
 
Physicians,orthopaedic surgeons, etc
 
Unafikiri hata ni kosa?Niliwaambia hii thread imevua watu wengi nguo sana wa kaskazini. lol yaani utafikiri ni wa Stone Age, Exposure hamna Ila ni wajuaji wa kila kitu , sasa Mwambie ashushe mambo kuonyesha to see a movie is wrong Ndio uone.

hawa jamaa ni bure kabisa...naona wameanza kutumia kingereza kama stepping stone yao..
 
Back
Top Bottom