Sasa ni ngapi imekamilika? mengine ni kwa makaratasi tu nyambaff😂😂😂😂😂😂😂😂😂na kwa sasa ni percentage ngapi ya hiyo miradi imejengwa? unajua so far imekula cement kiasi gani ama unakurupuka tu kujifurahisha? mbona wewe boya hivi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., so far kwa yale yote mmejenga ya hiyo miradi yote ambayo mmepanga kujenga, haijakula cement more than Kenyan completed projects ya hivi majuzi.., ama unabisha tuende ground step by step??..,Umeandika upumbavu gani we jamaa.? 🤣🤣🤣.. miradi yetu ni sawa na miradi yote ya nchi za EA zilizobakia na bado hamutatuweza.. hapa nimetaja SGR pekee. Kama ni bridges sisi ndio baba wa hizo kazi EA .. sitaji miradi mengine yoyote .. ni dhambi kuendelea kutaja kwasababu huna cha kunijibu
Mbona inakuuma hivyo? utanyooka, porojo naumbua lero hii, relax, wala usiwe na mbio, naenda na wewe pole pole...,🤣🤣🤣 Mpumbavu sana we jamaa, haya meza matapishi yako sasa
🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?Sasa ni ngapi imekamilika? mengine ni kwa makaratasi tu nyambaff😂😂😂😂😂😂😂😂😂na kwa sasa ni percentage ngapi ya hiyo miradi imejengwa? unajua so far imekula cement kiasi gani ama unakurupuka tu kujifurahisha? mbona wewe boya hivi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., so far kwa yale yote mmejenga ya hiyo miradi yote ambayo mmepanga kujenga, haijakula cement more than Kenyan completed projects ya hivi majuzi.., ama unabisha tuende ground step by step??..,
Kusema " hii(what is there already) haifiki nusu yake" ni kusema "haitawai" ? wewe ni zero kwa akili kabisaaa.., we are talking about yale ambayo msha consume.., sio future.., nilikuelezea unionyeshe sehemu niliandika haitawai kama ulivyo sema.., nyambaff..., ukipata nafunga account na kuhama jf 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂🤣🤣🤣 Mpumbavu sana we jamaa, haya meza matapishi yako sasa
Umejinyonga kilaza.., serikali yenu iko sahihi na data.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?
Unajielewa we jamaa.? 🤣🤣Umejinyonga kilaza.., serikali yenu iko sahihi na data.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ndio mnatoka porini nyani, na bado consumption ya cement yetu ya nusu mwaka ndio yenu ya mwaka.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tena kwa miradi ya hiv karibuni 🤣🤣🤣 2017-2022 Usije unajaribu kuleta matako yako utaumbuka.. wewe kima Don YF .. miradi yetu yote ni mipyaa
Twende ground uone kama huja leftNdio mnatoka porini nyani, na bado consumption ya cement yetu ya nusu mwaka ndio yenu ya mwaka.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kwa vile wewe ndio mbishi, leta evidence from 2017 to 2022.., all projects tuone.., mimi nitaweka list na picha even clips ukitaka na Google earth kote kote na pia niweke na Tanzania., haya prove us wrong na pia pinga data ya Tanzania tuone...,🤣🤣🤣🤣 Unaweza leta miradi yenu yenye mmejenga in recent years.. 2017-2022. Ili tuone ni nani ame consume cement zaidi kwa kipindi cha hiv karibuni.?
Wazee wa data wanapita kama hawajaona kitu[emoji23]Unaweza ukaingia kingi pale wakenya wanavyokupanga kuhusu apartments[emoji28][emoji23]
4% ya majengo yote Kenya ni Very dangerous kwa kuishi
73% ni majengo ambayo sio kwa salama kuishi
8% ni majengo ambayo ndo angalau
15% hawa tu ndo wako salama (Kenya nzima)
Sababu ni zilezle cement kijiko kimoja mchanga debe[emoji28]. Bado wanakwambia apartments zinatumia sana cement[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2372354View attachment 2372358
Kasi Ndogo na Gharama Kubwa za Intaneti, Usalama na Sera za Nchi, Upatikanaji wa Huduma za Uhakika na Udhaifu wa Miundombinu ya Kielektroniki
Anza twende kaziSasa kwa vile wewe ndio mbishi, leta evidence from 2017 to 2022.., all projects tuone.., mimi nitaweka list na picha even clips ukitaka na Google earth kote kote na pia niweke na Tanzania., haya prove us wrong na pia pinga data ya Tanzania tuone...,
Wewe ndio unapingana na ukweli, so tuonyeshe kua uko sahihi ata zaidi ya media zenu kwa kuweka evidence....., mimi nitakujibu kikamilifu, with strong evidence kutoka Tanzania na Kenya ata kwa kutumia google earth kuonyesha dunia ground kote kote, so dhibitisha kauli yako dogo..,Anza twende kazi
Kenya SGR ni km ngapi ?Yaani what SGR Kenya ili consume hii haifiki nusu yake kilaza.., so fyata tafuta shugli nyingine ya kujiliwaza..,
google.., kisha kaa pembeni kilaza.,Kenya SGR ni km ngapi ?
Tuanzie hapo kwanza
Sawa kilaza nitagoogle kisha nitakaa pembeni..google.., kisha kaa pembeni kilaza.,
Naanza hapa miradi mikubwa ndani ya Dar iliyojengwa na inayojengwa Kati ya mwaka 2017-2022.Wewe ndio unapingana na ukweli, so tuonyeshe kua uko sahihi ata zaidi ya media zenu kwa kuweka evidence....., mimi nitakujibu kikamilifu, with strong evidence kutoka Tanzania na Kenya ata kwa kutumia google earth kuonyesha dunia ground kote kote, so dhibitisha kauli yako dogo..,