phase 6 inakuja kwenda Burundi ikumbukwe Burundi hawana kiwanda cha cement na procurement inafanywa na TRC on behalf!We sio bure unaliwa wewe.. kunakuwa na viwanda vya kutengeneza mataruma kabisa ili kujengwa njia ya SGR .. hiki kiwanda kinatengeneza mataruma 1500 every single day 👇. 👇View attachment 2372388mataruma ni hizo mikitu za zege zilizopitishiwa chuma juu yake tayari kupitisha reli, imagine hiyo cement consumption daily.. sijataja cement consumption kwenye overpasses, underpasses, mifereji,vituo vya reli n.k, and mind you kuna viwanda kadhaa vya kujenga mataruma katika kila phase moja ya mradi.. and guess what, tuko na 5 phases U/C simultaneously.. wacha mchezo kabisa .. leta hiyo cement consumption kwene jujenga tarmac roads .. tuone kama inaweza fika 2% ya 1 phase of SGR
Hapo sasa roho yng imetulia, haiwezekani mji una electrified SGR, una cable stayed bridges, una BRT, una modern airport, una modern stadium, una modern bus terminals n.k alafu bado uzidiwe na kamji kenye slums kila kona, hata wewe ungekubali?Umbea ya FB? Soja sasa mbona unajiaibisha hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusubiri tuone.Kuhusu Kumshinda Putin Bado sana,watasubiri sana mpaka dunia ipotee
Hawawezi
what do u expect from mishamba.., wengi wapo wapo tu, wamezubaa.,Cc.@Teargas Geza Ulole The best 007 joto la jiwe tuusan Don YF dopchinski
Facts on facts[emoji1787][emoji1787][emoji2297]View attachment 2372347
Wewe ni kumbafu sana, SGR kipande kidogo kimewashinda, vi flyover in Dar kukamilika inawachukua zaidi ya mwaka., kitu ya miezi, niondolee ujinga wako na ufukara kilaza, find your equals kule vijiweni, nyambaff 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nitajie mradi mkubwa uliokwisha baada ya mwaka mmoja au unadhani kujenga miradi mikubwa kama yetu ni sawa na kujenga ghorofa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao Ethiopia wenyewe bwawa lao ambalo lilianza kujengwa kabla yetu na bado halijaisha, nyie hamna mradi mkubwa hata mmoja, mna vimiradi vidogovidogo alafu mje mtukaribie kwenye cement consumption? Labda dunia iumbwe upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SCAM.!!Kumbe Lagos bhn imeendelea kuliko slum city ka Nairobi, ndio maana wakunya wanaiogopa Lagos [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2372381
Wanajaribu kukimbia huu ukweli lakini umewabana kote kote na facts.., mifukara😂😂😂😂😂
ujinga ni laana, unahara tu maneno ilimradi umenijibu, idiocy on steroids.,Wewe ni taahira na hujawahi kumiliki akili, endelea na mipasho
JPM Bridge Mwanza pekee inatumia cement yote inayotumika Nairobi na counties zake za pembeni
Huyo huwa hivyo, yeye bora tu ajiaminishe Tz iko juu ya Kenya, atakurupuka anything., Sama boy 255 punguza aibu bana, jifunze kufanya utafiti na kuongea with concret evidence sio kukurupuka tu ujifurahishe, why remain ignorant forever, unajitia hamnzo ile wazi wazi😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂Sasa SGR inatumia Cement kiasi gani? Are you aware that a dual carriageway of 400km consumes more cement than SGR truck of 2,000km?
Tanzanians in this forum na facts ni kama maji na mafuta hawapendi ukweli kabisaa., wanaweza kusema mvua inanyesha ata kama hakuna mawingu na jua lime ng'aa, ama waite nyekundu nyeupe, 😂😂😂😂😂😂😂😂Ripoti hio hio ya WB inayosema " enabled Tanzania to achieve one of the fastest electricity access expansion rates in Sub-Saharan Africa."
Ripoti hio hio inasema Kenya ndo iko na the fastest electricity access expansion in Africa... So Tanzania is one of the fastest in Sub-Sahara Africa lakini Kenya ndo fastest kushinda zote!
View attachment 2372383
Kama unavyoona hapo juu, Kenya iko na watu 15 Million ambao hawajapata uwezo wa kufikiwa na stima, Wakati Tanzania ni 36 million.
Kenya, 71% ya wakenya wamefikiwa na umeme wakati Tanzania mmefika 40% mwaka huu.
Kenya ikiwa na 5.2% growth rate increase access to electricity ndo inaongoza, ikifwatwa na Uganda(3.0%) , Ethiopia(2.6%) alafu ndo Tanzania(2.5%)...... Kwahivyo hio tweet ulioweka inayosema "has enabled Tanzania to achieve one of the fastest electricity access expansion rates in Sub-Saharan Africa." inaongelea kuhusu hio 2.5% yenu ambayo inawafanya muwe namba 4 sub-sahara Africa baada ya Kenya, Uganda, Ethiopia !
Tena kumbuka Kenya tayari asilimia kubwa iko na umeme na bado tunaongoza % rate ya wateja wapya... Ikija kwenye orodha ya top 20 least electrified countries, Kenya haimo kwenye hio list, Lakini Tanzania imo at only 40% electified by 2022View attachment 2372395
View attachment 2372407
View attachment 2372408
Source
Downloads | Tracking SDG 7
Access comprehensive yearly energy progress data, along with videos, datasets, and previous editions. Download now for valuable insights and analysis. Download complete yearly energy progress data, including videos and datasets. Explore previous editions for a thorough understanding of energy...trackingsdg7.esmap.org
Kwahivyo ikija kwa hili swala la umeme, Watanzania msijaribu kujilinganisha na Kenya, tumewaacha mbali sana, Uganda ndo size yenu, na mkizubaa nao pia watawaacha nyuma, Mwanzo museveni akishaondoka kutaingia nguvu mpya!
Usitoke kwenye mada mzee.. hapa tunazungumzia cement consumption kwa kipindi cha hivi karibuni.. ambapo Tz hoja yetu ni kwamba tuna consume cement zaidi yenu kwasababu tunajenga miradi mikubwa kuwaliko ambayo inatumia kiwango kikubwa cha cement, ambapo moja Kati ya hiyo miradi ni SGR 5 phases, ambayo tz tunajenga kwasasa simultaneously.. Tahira mwenzako akaongea ushwa kwamba ujenzi wa barabara ya lami ya 400 km unatumia cement nyingi kuliko ujenzi wa 2k km of SGR .. wewe ukaja hapa kuteatea upuuzi wa mwenzako, haya mtueleze sasa unawezaje kutumia cement zaidi katika ujenzi wa barabara ya lami kuliko ujenzi wa reli.?Yaani what SGR Kenya ili consume hii haifiki nusu yake kilaza.., so fyata tafuta shugli nyingine ya kujiliwaza..,
Regionally and domestically Watanzania wanasafiri zaidi ya wakunya hilo halina ubishi.Wewe ndio ulikuja hapa na pupa that tanzanians travel more than kenyans [emoji1787][emoji1787] katafute passport kwanza men
Nilikua sijasoma vizur huu upumbavu ulioandika 🤣🤣🤣 kwamba hatutawahi tumia cement hata nusu ya mliyotumia while SGR yetu is at least four times longer to yours .. kweli wewe ni mbwaYaani what SGR Kenya ili consume hii haifiki nusu yake kilaza.., so fyata tafuta shugli nyingine ya kujiliwaza..,
Mbona unapenda ubishi kishenzi hivi?😂😂😂😂😂😂😂,SGR yenu mnajenga kutokea zamani haikwishi! yaani mmejenga pole pole, kwa mwaka cement consumption itakua chini sana, ata hizo stations zenu don't look that humongous to consume cement, kwanza hiyo ugly looking glass building ya Dar haijakula simiti mingi bana😂 😂 😂 😂 😂 😂 Naweza ku prove you wrong.., Expressway imeanza na kukamilika hivi karibuni kama bado miradi ya viflyover na vibarabara in dar vinayumba yumba hadi sasa hivi, Eastern bypass expansion na flyovers done and dusted juzi tu, Lang'ata road done and dusted majuzi tu, kuna kibera link road, inaunganisha Ngong road na Lang'ata road through Kibera, wanajenga overpass na inakaribia kukamilika, in Mombasa Makupa bridge imekamilika mwaka huu na bado ujenzi unaendelea of other bridges and roads with underpass, tunnels na flyovers etc.., hatujaweka housing sector and office blocks kilaza.., tafuta wenzenu.,Usitoke kwenye mada mzee.. hapa tunazungumzia cement consumption kwa kipindi cha hivi karibuni.. ambapo Tz hoja yetu ni kwamba tuna consume cement zaidi yenu kwasababu tunajenga miradi mikubwa kuwaliko ambayo inatumia kiwango kikubwa cha cement, ambapo moja Kati ya hiyo miradi ni SGR 5 phases, ambayo tz tunajenga kwasasa simultaneously.. Tahira mwenzako akaongea ushwa kwamba ujenzi wa barabara ya lami ya 400 km unatumia cement nyingi kuliko ujenzi wa 2k km of SGR .. wewe ukaja hapa kuteatea upuuzi wa mwenzako, haya mtueleze sasa unawezaje kutumia cement zaidi katika ujenzi wa barabara ya lami kuliko ujenzi wa reli.?
Nionyeshe sehemu nimesema hamutawai 👆kilaza? tunazungumzia as at now, sio future, wacha kutafuta pakutokea na uongo, unanisingizia na nilicho post is here kila mtu ajisomee, bana wacha za ovyo😂😂😂😂😂😂Nilikua sijasoma vizur huu upumbavu ulioandika 🤣🤣🤣 kwamba hatutawahi tumia cement hata nusu ya mliyotumia while SGR yetu is at least four times longer to yours .. kweli wewe ni mbwa
Umeandika upumbavu gani we jamaa.? 🤣🤣🤣.. miradi yetu ni sawa na miradi yote ya nchi za EA zilizobakia na bado hamutatuweza.. hapa nimetaja SGR pekee. Kama ni bridges sisi ndio baba wa hizo kazi EA .. sitaji miradi mengine yoyote .. ni dhambi kuendelea kutaja kwasababu huna cha kunijibuMbona unapenda ubishi kishenzi hivi?😂😂😂😂😂😂😂,SGR yenu mnajenga kutokea zamani haikwishi! yaani mmejenga pole pole, kwa mwaka cement consumption itakua chini sana, ata hizo stations zenu don't look that humongous to consume cement, kwanza hiyo ugly looking glass building ya Dar haijakula simiti mingi bana😂 😂 😂 😂 😂 😂 Naweza ku prove you wrong.., Expressway imeanza na kukamilika hivi karibuni kama bado miradi ya viflyover na vibarabara in dar vinayumba yumba hadi sasa hivi, Eastern bypass expansion na flyovers done and dusted juzi tu, Lang'ata road done and dusted majuzi tu, kuna kibera link road, inaunganisha Ngong road na Lang'ata road through Kibera, wanajenga overpass na inakaribia kukamilika, in Mombasa Makupa bridge imekamilika mwaka huu na bado ujenzi unaendelea of other bridges and roads with underpass, tunnels na flyovers etc.., hatujaweka housing sector and office blocks kilaza.., tafuta wenzenu.,
Barabara zetu zinakula cement sana kilaza..,
View attachment 2372510
Yaani ata media zenu zilitoa data ya cement consumption in Tanzania ya hivi karibuni kwa mwaka, hiyo sasa ni kama ya miezi sita hapa Kenya.., penda ukweli dogo..,
Yaani what SGR Kenya ili consume hii haifiki nusu yake kilaza.., so fyata tafuta shugli nyingine ya kujiliwaza..,
🤣🤣🤣 Mpumbavu sana we jamaa, haya meza matapishi yako sasaNionyeshe sehemu nimesema hamutawai 👆kilaza? tunazungumzia as at now, sio future, wacha kutafuta pakutokea na uongo, unanisingizia na nilicho post is here kila mtu ajisomee, bana wacha za ovyo😂😂😂😂😂😂