Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Sijakuelewa unavyosema ni propaganda ya CCM ...how wakati capacity inakuwa measured kwa sq meters za jengo..kwahyo kila capacity ni propaganda ya kitu...Terminal 3 ina capacity ya 6million pax , Terminal 2 1.5million passngers , Terminal 1 500k ..Total capacity 8 million..You must be ignorant ama unajitoa ufahamu, eti capacity wise, hiyo propaganda ya CCM usiniletee hapa na vitu vinaonekana wazi, zoea kukubali ukweli ata kama inauma itabakia pale pale, JNIA is way below JKIA and soon what is coming up in Rwanda by Qatar Airways will be above JNIA.., mtanyooka tu.,
usifananishe capacity na number of passngers served
Kwahyo kila kitu tutachowapita ni propaganda hatuwezi kuwa na terminal kubwa kuliko nyie sio...you have all things bigger acha upuuzi leta facts