Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Yani wamejaribu njia zote za kujipiga kifua wameshindwa. Walianza eti kimetoka Tanzania, ukawabwaga, wamekuja sasa eti ni cha WFP with donations from Tanzania, pia umewabwaga.Achana na hawa wendazimu, video imeonyesha vizuri chakula kimetolewa na serikali ya Kenya, wao wanaleta majigambo eti ooh Tanzania this Tanzania that. Tazama bango.............chakula kingekuwa kimetolewa na Tanzania ama WFP logo ingewekwa. Hawa wameanza kurukwa na akili.
View attachment 2369178
We unaweza ukawa freelancer malipo yako unalipwa kulingana na unachokiuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wazee wa GDPHawa ndio financiers, kunyaland haina huo uwezo wa kununua chakula View attachment 2368966
Hivi wewe unadhani Tanzania ikidonate chakula Kenya humu munaweza kalika? Si kila mtoto Tanzania atauimba wimbo? Si hata bungeni kutajadiliwa? Unadhani hatutochoka humu tukipostiwa link na screenshots like forever? Hehehe, wewe huwajui hawa jamaa. 🤣Yani wamejaribu njia zote za kujipiga kifua wameshindwa. Walianza eti kimetoka Tanzania, ukawabwaga, wamekuja sasa eti ni cha WFP with donations from Tanzania, pia umewabwaga.
Mnajichekesha chekesha ila najua mnaumia sn mkiona nchi yenu inasaidiwa vitu vya aibu kama chakula.Wewe sii msee mpoa. [emoji1787][emoji1787]
Jamii Forums instagram ingekuwa ishaupdate. Kule facebook na twitter wangeanzisha battle. 🤣Hivi wewe unadhani Tanzania ikidonate chakula Kenya humu munaweza kalika? Si kila mtoto Tanzania atauimba wimbo? Si hata bungeni kutajadiliwa? Unadhani hatutochoka humu tukipostiwa link na screenshots like forever? Hehehe, wewe huwajui hawa jamaa. 🤣
Exactly.Jamii Forums instagram ingekuwa ishaupdate. Kule facebook na twitter wangeanzisha battle. 🤣
It was purchased from Tz by WFP and given to one of the poorest country in the world as a donation to save laziest people on Earth.Firstly, you have no prove that it is purchased from Tanzania. Secondly, if it is, then it is purchased like you said. So why are you people saying you donated the food if it is purchased?
Umeonyeshwa bango la serikali ya Kenya na bado unabubuja.It was purchased from Tz by WFP and given to one of the poorest country in the world as a donation to save laziest people on Earth.
ZERO BRAINUmeonyeshwa bango la serikali ya Kenya na bado unabubuja.
Huyo hata usijisumbue naye. Ukiona simjibu usidhani ni bure. Mtu ovyo sana, yani mbishi mjinga. Heri Geza Ulole ni mbishi lakini ukimletea facts utaona amenyamaza. Huyu utampa facts na bado atabisha tu na ujinga wake.Umeonyeshwa bango la serikali ya Kenya na bado unabubuja.
Nimeanza kuona hivo.Huyo hata usijisumbue naye. Ukiona simjibu usidhani ni bure. Mtu ovyo sana, yani mbishi mjinga. Heri Geza Ulole ni mbishi lakini ukimletea facts utaona amenyamaza. Huyu utampa facts na bado atabisha tu na ujinga wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unaweza ukawa freelancer malipo yako unalipwa kulingana na unachokiuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Update: electrical SGR Dodoma-Dar es Salaam
Actually money to purchase it was from USAID and purchased from Tanzania.
Freelancing inakuanga na HR? Mbona nyinyi watanzania mnakuanga wajinga hivi?We unaweza ukawa freelancer malipo yako unalipwa kulingana na unachokiuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi vile tuliwapea donation uliona vile Magufuli alikenua meno?Hivi wewe unadhani Tanzania ikidonate chakula Kenya humu munaweza kalika? Si kila mtoto Tanzania atauimba wimbo? Si hata bungeni kutajadiliwa? Unadhani hatutochoka humu tukipostiwa link na screenshots like forever? Hehehe, wewe huwajui hawa jamaa. 🤣
Ingekuwa ni wao walitupea bado wangekuwa wanashare screenshots humu.Sisi vile tuliwapea donation uliona vile Magufuli alikenua meno?
Sisi tuliwapea donation pesa na hata hatujairinga nayo😂😂Ingekuwa ni wao walitupea bado wangekuwa wanashare screenshots humu.