jamaa tunaenda nao unyanyo kwa unyayo huku tukiwapumulia kwa nyuma....hawaamini kile dar inavyowafanya kitu mbaya.😀 like this?
THE VIEW FROM PSPF TWIN TOWERS ROOFTOP by indaressalaam, on Flickr
THE VIEW FROM PSPF TWIN TOWERS ROOFTOP by indaressalaam, on Flickr

Na karioko inaingia mala tatu kwa Githurai na unaitisha changeupanga na kariakor zikichanganya zinaingia eastlands mara mbili na kubaki change
From Rita Tower by indaressalaam, on Flickr
Purooooo....From The Kilimnjaro Haytt regency by indaressalaam, on Flickr

Tatizo la hawa jamaa zetu ushamba umewazidi, wanajifanya kupenda mambo ya kusadikika kama 'uzungu koko' wakati wao ni waafrika (Njonjo). Na hii ni hulka ya wakenya wengi.chamoto wanyorishee....
usituchoshe bana....Tatizo la hawa jamaa zetu ushamba umewazidi, wanajifanya kupenda mambo ya kusadikika kama 'uzungu koko' wakati wao ni waafrika (Njonjo). Na hii ni hulka ya wakenya wengi.
Ukiwaambia kuwa sisi tunaona fahari kukaa kwenye nyumba zetu za kiswahili, wao wanaona kukaa kwenye apartments ndiyo maendeleo. Yaani ushamba ushamba tuu, wanajifanya kujua kiingereza wakati wengi wao matamshi yao mabovu, ukija kwenye kiswahili ndiyo balaa, wanajitia kimbele mbele eti wanazungumza kiswahili fasaha wakati hawakijui, ukiwasahihisha wanasema eti hii ni "sheng".
Ila, wale waliotembea kidogo huwa hawana huo ushamba wa kikenya, wanakuwa na tabia kama za kibongo (unyenyekevu).
Mimi sisemi hivi kwa ubaya, nna marafiki wengi wakenya na wako poa tuu, tatizo ni wale ambao hawajatoka nje ya kenya...wanakuwa na tabia za ajabu ajabu.usituchoshe bana....
bado sana ila naona una try😀 like this?
THE VIEW FROM PSPF TWIN TOWERS ROOFTOP by indaressalaam, on Flickr
THE VIEW FROM PSPF TWIN TOWERS ROOFTOP by indaressalaam, on Flickr