Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

south africans cant get enough of this shit...lol! if only they knew how many more skyscrapers are rising there...
5866167_keny2_jpegeed8a0a90e8e796b839fd686f302985f
 
Tatizo la hawa jamaa zetu ushamba umewazidi, wanajifanya kupenda mambo ya kusadikika kama 'uzungu koko' wakati wao ni waafrika (Njonjo). Na hii ni hulka ya wakenya wengi.

Ukiwaambia kuwa sisi tunaona fahari kukaa kwenye nyumba zetu za kiswahili, wao wanaona kukaa kwenye apartments ndiyo maendeleo. Yaani ushamba ushamba tuu, wanajifanya kujua kiingereza wakati wengi wao matamshi yao mabovu, ukija kwenye kiswahili ndiyo balaa, wanajitia kimbele mbele eti wanazungumza kiswahili fasaha wakati hawakijui, ukiwasahihisha wanasema eti hii ni "sheng".

Ila, wale waliotembea kidogo huwa hawana huo ushamba wa kikenya, wanakuwa na tabia kama za kibongo (unyenyekevu).
wacha tu nikae kwa apartment tao na huku mansion yangu iko ocha... uswahilini kwa 'wapiga chabo' ni kwa akina Lunatic
 
ssup Two Rivers? nahitaji mtz anioneshe mall kama hii...😀😀😀atakaye pata ani tag...
16464405_1126508637472343_1120062943208144896_n.jpg
16585371_1908931939393340_4474443022838267904_n.jpg
16464483_1847382728808703_1557562343636860928_n.jpg
16230417_718561828313974_5368257366749872128_n.jpg
 
nataka mtz mmoja anioneshe ndege kama hii na si bombadier...akipata anitag 😀😀😀
33202862701_6794fb91ce_o.jpg
 
dar es salaam vs all the ushago houses in kenya...thank you sadiki.
 
Back
Top Bottom