Nlisha kwambia unapost vitu vya miaka 47 unarudia tyu huo ni ukosefu wa akili,,.Baboon at it again. Which projects are you undertaking to consume cement two times the amount Kenya consumes? This was a report from your government and it states that Tanzanian cement consumption for the full year is equal to Kenya's cement consumption for six months. Mnajenga dam moja sisi tunajenga sita. Nairobi alone build more houses than entire Tanzania. Tatu city is consuming more cement than dodoma, Mombasa is building more bridges than all of Tanzania. Kenya is building four times the number of roads that Tanzania build.
View attachment 2367316View attachment 2367317
Nilisha waambia kenya ni mafundi wa kupika takwimu za uongo na blog uchwara zao kwa atujiYou want to know where cement is going? Look no further.
View attachment 2367373
View attachment 2367374
wanaringa na huyu Billionare moja☝🏽tu hivi!..
$48B÷$24B=?Kwanza ni 4×.
5,000 ÷ 1,200 ni ngapi?
huo unaitwa uchumi wa mabeberu na wenyewe wanafurahia sana na wanywa gongo na kalinyaaawanaringa na huyu Billionare moja☝🏽tu hivi!..
yani, hawana Millionares, na Centi-Millionares.. ni finyu sana. pwahaha🤣🤣🤣
Mauritius outsmart most of the European countries when it comes to wealthy ,Jamaa wana hela sio mchezoWe are in 2022[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 2367452
View attachment 2367454View attachment 2367455
Niliwahi pendekeza kwamba Serikali iachane na kutaka Tanzania ifaulu kwenye mpira wa Miguu kwa sababu hatuna vipaji huko na gharama yake ni kubwa badala yake waweke nguvu kwenye Michezo ifuatayo,Mchezo wa ngumi umekua na muamke mkubwa sana.. tuko na bright future sana
Can you elaborate this to me?
Huyu kwani ni Mkenya?yani mnawivu sana Eliud Mtoto wa Karatu Huyu ssma wazazi wake kiherehere Chao kuhamia kenya [emoji3][emoji3][emoji1787]
Viongozi hawana diraMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema hawatalazimika kusubiri zaidi Wawekezaji wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo na hivyo Serikali itaanza ujenzi
Soma - Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023
#ServiceDeliveryView attachment 2367570
Hii Mwanza mazingira yake mazuri sanaView attachment 2367591
tz MWANZA MAJI HOUSE,,, nyamagana
na tanzania ata ipande ama ishuke, its non of our business..Kunyaland iki drop huwa ni habari njema Sana 😬😬
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema hawatalazimika kusubiri zaidi Wawekezaji wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo na hivyo Serikali itaanza ujenzi
Soma - Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023
#ServiceDeliveryView attachment 2367570