chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
30km 6 lanes mpaka 8 lanes halafu kuna watu walikua wanapigia kelele dual carriageway, Dar kwa sasa inaachana na dualsIyo ni around 29Km...Nyie mji utakua makini sana...section ya Morocco hadi mwenge nafasi imeachwa ya kutosha tu hakutakua na usumbufu
ukweli nayo wacha usemwe.. kisha hawa watu wataupinga tu, ata kitu kilicho wazi kabisa😆😆80% of Tanzanian buses are produced in Kenya.
Nimekuuliza jibu swali kwanza acha kuruka viunziWhich club have you ever seen participating in world cup?
Litajengwa jengo 1 biashara ifungweHuwa mnachekesha kweli. Yani render ya project moja with less than 8 structures ndio inawapa orgasm? Such projects are coming up in hundreds huku Nairobi. Example is this one in Mombasa road, construction has already started while ya kwenu hata bado hamjui itajengwa lini.
View attachment 2363402View attachment 2363403View attachment 2363404
Tatizo ni kwamba the moment unaleta jina la kiasili Mjaluo atakuja na lake, Mluhya pia, Msukuma pia, Mkurya pia, Mzanaki pia, Mhaya na Mbaganda! Itakuwa fujo kuamua Jina lipi litumike!It's high time now tubadili jina la hili ziwa sababu tupo huru, nimependa view ya Mwanza tu
View attachment 2363508
Huu mradi uwe endelevu mi ntachukua nyumba NHC kawe napangishaMradi unaitwa Sa100 housing project utatekelezwa Tz nzima lakini 50% Dar 20% DOM .. umetengewa bajeti kama 400+ billion
Yani apartment ya 50M unaichajeMradi unaitwa Sa100 housing project utatekelezwa Tz nzima lakini 50% Dar 20% DOM .. umetengewa bajeti kama 400+ billion
Umedadavua vizuri sana,manake yasijekujirudia makosa kama ya Dar hapo ilo ni angalizo...watawajibika kusimamia maendeleo ya Dodoma kama Jiji na sio mji wa serikali pekeyakeOf course sio Swala geni duniani, lakini ni swala geni kwetu na pia hujaniambia umuhimu wake ni upi.
Moja ya malengo ya Nyerere kuhamisha capital somewhere else ni kujenga national identity ambayo haihusiani na colonial rule. Dar es Salaam ilikuwa capital ya wakoloni, Kwa hiyo Nyerere akaamua kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda Dodoma kujenga identity ya taifa, hasa inayohusisha ujamaa.
Wakoloni waliigawa Dar es Salaam Mara tu walipoanza utawala. Msasani peninsula (Oyster Bay na Masaki) ilikuwa ni ya Europeans halafu Kariakoo ya waafrika weusi. Downtown ilijazwa na wahindi na waarabu. Na mpaka leo hizi demographics zinaonekana.
Dodoma ni mji mkuu wa serikali. Huo mji mwingine unaotengenezwa ni mji gani? Kwanini capital isiwe abstract? Ukiweka taasisi zote za serikali kwenye district ndogo unafanya zoning. Kwanza uta-weaken Dodoma Maana watu wengi watajaribu kusogea karibu na huo “mji wa serikali.” Pili unatengeneza class divide. Clearly watumishi pia watapata makazi kwenye hayo hayo maeneo ya “mji wa serikali” halafu wananchi wa “kawaida” wataendelea kuishi Dodoma. Pia social services zitakuwa directed mainly kwenye “mji wa serikali.” Hakuna sehemu yoyote Dodoma iliyopangiwa sophisticated infrastructure kama huo “mji wa serikali.” Paved roads, a planned tram system, underground electric cables, sewerage systems, street lighting etc
Kama taasisi zingechanganyikana kwenye maeneo yote ya mji wa Dodoma basi maendeleo yangeonekana mahali pote. Usisifie system inayotumika nchi nyingine bila kufahamu ni jinsi gani itakavyoathiri jamii yako!
but infact jina lake tuliibadili sisi kitambo.. its called 'Lolwe' in kenyan dholuo.. wasukuma je?It's high time now tubadili jina la hili ziwa sababu tupo huru, nimependa view ya Mwanza tu
View attachment 2363508
Mpaka sasaYani apartment ya 50M unaichaje
We have the muscles unlike you who can't even complete one single housing project.Litajengwa jengo 1 biashara ifungwe
🤣🤣🤣🤣nakubaliana nawe kweli.. kiswahili kitamu na nnakienzi kwa dhati😍
kiswahili kifupi kweli.. angalau naweza nikajizolea alama 3! kwa kuandika tu neno moja! kwenye insha 😆😆😆
View attachment 2363470
Em nione site 😅😅We have the muscles unlike you who can't even complete one single housing project.
Nyanzabut infact jina lake tuliibadili sisi kitambo.. its called 'Lolwe' in kenyan dholuo.. wasukuma je?
Haya with in our political capital city, kuna financial district inatengenezwa .. una lipi la kusema.? Wivu au.?Have you realized that you are writing nonsense? There's nothing like Political district and you will never find such a thing. Two Nairobi has both business district (Nairobi Central) and Financial district (Upperhill). Westlands is more of an entertainment district.
There's nothing like political capital city.Haya with in our political capital city, kuna financial district inatengenezwa .. una lipi la kusema.? Wivu au.?
What's the difference between New York and Washington DC?There's nothing like political capital city.