Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No . Unachoeleza ni sahihi na ndio kinachofanyika Dom kwasasa.. kuna district mbili mpya zinajengwa ukiachana na ile old financial district yao. Ambapo all those districts ni separate .. for instance hii ndio new government City inajengwa hapa 👇hapo juu ni kwaajili ya ministries n.k.. halaf zile picha alizopost chongchung. Yaani hapa 👇hili eneo ndio mostly limewekezwa ofisini mingi za taasisi tofauti tofauti pamoja na aina nyingine ya uwekezaji kama vile, hotels, majengo ya biashara n.k .. na ni mbali pia kutoka hapa hadi ufike New government City
 
Sababu kuu ya kujenga districts mpya ni serikali kusema kuwa hawataki kuchangamana na hali duni ya Dodoma. Kwa hiyo ni Heri kutengeneza “picha mpya” mahali pengine. Kama wangekuwa wanaweza kuhamisha bunge pia wangejenga mahali pengine, but that would be controversial.

Hizo infrastructures wanazojenga kwenye mji wa serikali zinastahili kumfikia kila mwananchi, si taasisi za serikali peke yake. Tayari tumeshaanza kutengeneza matabaka kwenye national capital, na ndio reflection ya mahali nchi ilipo na inapoelekea.
 
Hizi miundombinu ndani ya DODOMA zinafanywa kila mahali, fanya upate wasaa ukatembee ujionee mwenyewe kiongozi
 
Sisemi kama mitaa ya kawaida itafanana na mji wa serikali but itapata barabara pamoja na huduma muhimu kama maji na umeme 👇View attachment 2363126mfano hai 👆
Basi kama mitaa ya kawaida haitafanana na mitaa ya “mji wa serikali” basi huoni tatizo hapo?

A new district has all the amenities and infrastructure but the old districts where most people live struggle to get attention.
 
Kwanini Africa nzima ni Kenya pekee?.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuniambia mitaa ya wananchi wa kawaida itafanana na mitaa ya “mji wa serikali?”
By amenities za mji wa serikali what do you mean..?

I think Dodoma imejitahidi kugawanyika

Kuna sehemu kuna ministries ndo huko magufuli city

Bunge liko mjini kabisa tofauti na ministries zilipo

Plus judicary nayo iko sehemu tofauti..

Kwa huu mgawanyo itafanya services ziwe sehemu tofauti

Plus sehemu nying (sio zote) ila majority mji umepangwa na unapigwa lami mtaani..ingawa hawako fast sana ..ila viwanja vimepimwa
 
Hiv wakenya mnajisikia mkisikia haya kuhusu BRT yetu
Phase 1 is currently operating
Phase 2 is over 50% done
Phase 3: construction has just begun
Phase 4: tender has already been advertised

Tunaenda kuwaacha mbali kama kwenye SGR
Tofauti ni kama usiku na mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…