Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tufanye hivi masaki na oysterbay ipambane na iyo mitaa yenu mikali Nairobi then tukiona mnaupepo tutaongeza mikocheni na mbezi beach
hahaaa....hizo pengine tuzifananishe na kizingo,ganjoni na nyali.haziezi ligi za nai boss
 
una nyumba nzuri sana tz kushinda hizo unaeka hapo
good...lazima ukubali...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
9010771546_0ae4ccfffc_c.jpg
9010770978_286b488f7a_c.jpg
 
3m ksh nikama 60 million tsh...una nyumba nzuri sana tz kushinda hizo unaeka hapo
ivi we waishi wapi... ?.....maana ulivyo tu waonekana hadhi yako ni local sana katika hii dunia...[emoji13] [emoji13]
 
good...lazima ukubali...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ata hujaelewa nimesema nni au umechukua hio part moja peke yake ili ujichekeshe
 
nadhani wewe ndio hujanielewa...umekurupuka tu kuni- qoute kwa hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kadoda vipi tena...umeamka kuvuta bangi nni???hiyo msg haikuwa yako unakurupuka kuiquote...bangi sio appetizer ndugu
 
Back
Top Bottom