Ebu leta county yenye unafeel has no tarmac roads nikuprove wrong. Just name one out of the 47 counties.We famba, I expected ungeleta hizo barabara zenye u claiming to have. Unaleta domo domo kunuka hapa.?
🤣🤣🤣🤣 Hapo kwanza nicheke..Ziletee tuzione, I'm sure kitu utaleta are for Kenyans staying along the border who finds your hospitals to be closer to them😂😂🤣
Amekuja na ID nyingine au.? 🤣🤣Sio mgeni, ni yule mkale.
Hizo counts zenu huko zina ukubwa sawa na wilaya zetu tu ..Ebu leta county yenye unafeel has no tarmac roads nikuprove wrong. Just name one out of the 47 counties.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapo kwanza nicheke..
Watu anataka kuziona sasa hizo barabara ziko wapi.? 🤣🤣Kenya - 22,600km of paved roads.
View attachment 2355334
Tanzania - 9,800km of paved roads.
View attachment 2355335
Kaka hili tatizo ni toka enzi za Magu ...looks like its a ccm disease...its so stupid and inaharibu sana route.
Huyu Mama anapenda kutumia hizi ndege na kuvuruga ratiba za ATCL wakati ndege ya rais ipo, kwnn huyu mama hana uchungu na kodi za wananchi? Pale airport unakuta kuna ma delay ya kipumbavu pumbavu kisa tu ndege imechelewa kuwasili lkn pia equipments ni chache alafu hapo hapo mtu anachukua ndege anaenda nayo Kenya, ngoja niangalie kwenye flight radar nione leo TC 200 imeenda equipment gn alafu nirudi.
Hawana majibu kitu wataleta wao ni data tu 🤣🤣🤣 ni paper tiger hawa jamaaKuna siku tuliwahi kuorodhesha barabara za lami zinazounga mikoa na wilaya bongo humu, nadhani alikuwa [mention]Venus Star [/mention] na nani sijui, huwezi amini hadi leo hii wakunya wameshindwa kujibu.
Jengeni barabara bwana, you are making a lot of noise with nothing to show. I won't be surprised to find out ati hara Uganda pia imewashinda kwa number of paved roads 😂😂🤣Watu anataka kuziona sasa hizo barabara ziko wapi.? 🤣🤣
Nimekuambia utuonyeshe ni county gani has no tarmacked roads, or are you not the one who said that there are no tarmacked roads in some counties?Hizo counts zenu huko zina ukubwa sawa na wilaya zetu tu ..
Hovyo kabisa! Hawana huruma hata kidogo! Sio watu hawa!Tozo waanzishe wao, afu wao wenyewe waanzishe timu ya kuchambua tozo baada ya kukataliwa na wananchi, bila shaka na allowances juu. Hii serikali gan hii
Nitaje barabara zote Kenya ama?I'm so smart... Huwezi hamisha mada mbele yangu we nyang'au, leta barabara hapa watu wanataka kuona, au magari yenu mnaendesha kwenye hizo data mnapost humu ndani.?
🤣🤣 Ngoja nikupe ka duty kadogo, you guys are claiming to have built 10k in just 8 good years.. I want you to mention those roads names and the period that they have got done.. taja barabara moja Moja 🤣🤣🤣Nimekuambia utuonyeshe ni county gani has no tarmacked roads, or are you not the one who said that there are no tarmacked roads in some counties?
Network sio tatizo, katika hizo mmepave less than 10%
You are an idiot.🤣🤣 Ngoja nikupe ka duty kadogo, you guys are claiming to have built 10k in just 8 good years.. I want you to mention those roads names and the period that they have got done.. taja barabara moja Moja 🤣🤣🤣
👇Nitaje barabara zote Kenya ama?
🤣🤣 Ngoja nikupe ka duty kadogo, you guys are claiming to have built 10k in just 8 good years.. I want you to mention those roads names and the period that they have got done.. taja barabara moja Moja 🤣🤣🤣
Mention za Bongo alafu nitakupa jibu.
BravoBugando cancer Institute Mwanza
View attachment 2355119View attachment 2355120View attachment 2355121View attachment 2355122
Mimi sio mwendawazimu eti nikwambie Tz yote iko na tarmac roads zipo barabara za kuunganisha districts mingi tu hazina lami.. ila there's no a single road which connects region to region enye haina lami.... kama unaweza leta hapa.. sahihi naweza toka Mtwara straight to Musoma na nisikanyage vumbi popote.. u can google the distance and see how far is Mtwara to MusomaYou are an idiot.