Mombasa yenyewe ni mji wa kale sasa zitafutwe pictures nyingine tofauti na za zamani wakati hilo jalala ni la zamani? Mombasa ni kama Lamu na Malindi nothing new nothing modern, slums kushoto kulia na ufukara uliopea 😂😂😂😂Mombasa mnatafuta vipicha vya kitambo, same with Nairobi, mbona mmechoka hivi? Mnajaribu kujikomboa kwa propaganda mjidanganye na kujiliwaza, poleni kwa maumivu, mtanyooka kwa lazima, hadi raha😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
If wishes were horses.... 😂😂😂😂Mombasa iko na makazi yenye ya watu wakawaida yenye Dar ni ndoto kwa mtu kama wewe.., yaani mmeshindwa kuonyesha Dar, mnajua ilivyo, unazunguka visehemi duni picha za zamani kisa tumewabana.., kwa wastani Mombasa ni nafuu sana kuliko Dar is slum.., kama unabisha weka hapa hizo nyumba za watu wa kawaida.., nitag ukioata jibu kutoka Dar ama Tanzania yote., najua Dar yoote ilivyo, usisumbuke, haiwezekani leo hii upate jibu😜😜, aibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii picha Sijui umeenda kuipaka vitu gani kwa roho mbaya mbwa wewe 🤣🤣🤣
Hicho kichwa kinahangaika mzee kulazimisha ujinga wake 🤣🤣🤣If wishes were horses.... 😂😂😂😂
Kwa mbele kasema KQ is the most successful airline in Africa, is that true? 😂😂😂Yes, Kenya has the best infrastructure in East Africa according to him/her.
😂😂😂😂😂😂😂Alafu kwa mbele ndio panakaa hivi, japo hapa nimeacha na filter yake, kama unavyoona ni nyumba za mabati mtindo mmoja, c kwa ubaya lakiniView attachment 2352774
Mmechafua mpaka mawingu lakini wapiii! 😂😂😂😂
Kuna Mombasa nyingine?Mombasa port is bigger than all Tanzanian ports combined.
😂😂😂 Kajamaa kana force kichizi, kanafikiri kuna fala wa kumuokota humuHicho kichwa kinahangaika mzee kulazimisha ujinga wake 🤣🤣🤣
Wewe huwa na arguments za kipumbavu sn, kwahiyo hvyo vijumba vitatu ndio upige kelele humu, au nikuwekee picha uone kariakoo pale kuna ghorofa ngapi zinajengwa kwa ss, wacha argument cheap namna hii.Latest pictures za 2022
Count the number of buildings with greeen construction scaffolding. Nairobi construction boom is on steroids.
View attachment 2352827
Vipingo ndiyo takataka gani? Anyway outside DarIt's good you have accepted that Dar ni level ya Vipingo![]()









I wonder what kind of teachers you have in Tanzania. Jamaa amesema ati KQ is great sasa sijui hiyo most successful in Africa umetoa wapi.Kwa mbele kasema KQ is the most successful airline in Africa, is that true? 😂😂😂
Wacha mbambamba kijanaGo drink albino soup first ndio urudi hapa.
Bado sana eneo kubwa bado liko wazi, jengeni mazee, Dar at night

