Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bamburi Mtambo, outside Mombasa Island, mbali na CBD, it is not Tudor, Nyali, Shanzu, Bombolulu, Kizingo etc, yaani ni moja ya "Eastlands" ya Mombasa, haina mwenzake Dar is slum..., nikisema Mombasa ni mwiba kwa Dar wananuna wanatafuta kibera kwa hasira πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
View attachment 2347830View attachment 2347823View attachment 2347822
View attachment 2347828
View attachment 2347829

View attachment 2347831
Ila post zako za kujifurahisha we jamaa 🀣🀣
 
Ila post zako za kujifurahisha we jamaa 🀣🀣
Ukweli mchungu, zoea.., najua "Eastlands" ya Dar ilivyo, MombasaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
East lands ndio kitu gani.?
unajitoa ufahamu eti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., sawa pia mimi sijui ni kitu gani., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo ya Wakenya.
tapatalk_-833139179_594x445.jpg
 
unajitoa ufahamu eti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., sawa pia mimi sijui ni kitu gani., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hauna majibu.?
 
Mombasa imekuwa Kibera
HapaπŸ‘‡πŸ‘‡ ni wapi mjukuu.., ama uliokota tu picha kwa google nawe ukakimbia nayo? desperate as usual., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1662475060729.png
 
Bamburi Mtambo, outside Mombasa Island, mbali na CBD, it is not Tudor, Nyali, Shanzu, Bombolulu, Kizingo etc, yaani ni moja ya "Eastlands" ya Mombasa, haina mwenzake Dar is slum..., nikisema Mombasa ni mwiba kwa Dar wananuna wanatafuta kibera kwa hasira
View attachment 2347830View attachment 2347823View attachment 2347822
View attachment 2347828
View attachment 2347829

View attachment 2347831
Mombasa nyumba zimejengwa bila mpangilio, zinakera kuzitazama, kama nzi.
 
Kumbe tukiachaga kupost picha za miji yetu humu, huwa mnatabia za kusahau vile ilivyo ama ni unawashwa.?
Tanzania ni Tanzania tu, ipo ipo, maneno yako yanabakia kukuwa maneno tu dogo, ama una la kuongezea? facts? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tanzania ni Tanzania tu, ipo ipo, maneno yako yanabakia kukuwa maneno tu dogo, ama una la kuongezea? facts? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
🀣🀣 Okay endelea kujipiga kifua
 
Back
Top Bottom