Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili linataka nyinyi wote muungane kwa pamoja kupigania haya mabadiliko. Safari ya kenya kupata katiba mpya na mifumo dhabiti haijakuwa rahisi na bado kuna changamoto tele
Mifumo ipi?, Katiba ya Kenya zaidi ya kujibu matatizo ya "politicians" ni kitu gani imesaidia katika matatizo ya kiuchumi, kijamii na kiusalama?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
 
Wafugaji wa Kisukuma waua wakulima wawili Kigoma.
SA100 ajengewe sanamu kwa kurudisha kipindupindu tz na kuwezesha watz kufa 970 mpaka sasa ..pia naona majenereta yamerudi kkoo kwa kasi kubwa
 
Wee jamaa Africa mashariki nyie ndo mmejaa arabuni na ndo mnaongoza kwenye hizo jobs ulizo taja hapo punguza dharau waonee ndugu zako huruma.
 
Wahaya wako na pesa we jamaa, they can afford.. usiwachukulie poa kabisa, I've been living at Kiakarabwa for two good months and i also witnessed different kinda dvp that was going on..
sasa mbona hawaendelezi kwao hebu leta picha za Bukoba town?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…