Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let them not forget Psychiatrics cause wengi wenu ni vichaa.
 
Reminder.. posta 👇serikali ikifanikiwa kufanya renovation hapa Posta, na kuondoa baadhi ya majengo ya zamani .. wala sioni CBD yoyote hapa EA ya kuipiku posta, since hakuna CBD kwabwa EA kuliko Posta..
 

Attachments

  • malembosimbano_1644415413014354.jpg
    84.5 KB · Views: 32
Specialists ni wa wachache sana wakiitwa wote pale ukumbi wa JNICC hawajazi ule ukumbi...yani sidhani kama wamefika close to 1000
 
Unapenda ugomvi sana...Tuwasubiri lakini[emoji3]
Kweli bhana, nimepimisha kile ki CBD chao nikaona Ni kadogo, Hakana majengo mengi ya vioo mazuri, vijengo vingi ni less than 5 floors, sa Posta ikipata renovation ndogo sana kuondoa tu hizo gorofa za zamani zinazoning'inia nyaya za umeme, then tukazireplace, kitakua hakuna comparison tena hapa ndani. Kwasababu Posta ni kubwa mara mbili ya hako ka Sibidii kao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…