chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
Nairobi ni slums tupu kushoto kulia π€£π€£π€£π€£80% eti..., google earh iko wacha kuandika kwa mate kilaza.., onyesha hiyo 80% imetapakaa sehemu 80% ya Nairobi..,
Naumbua propaganda zenu leo hii., πππππππππππ
View attachment 2344073
90% ya makazi in Dar
View attachment 2344077
View attachment 2344082
View attachment 2344078
Hizi pictures za miaka 20 iliopita hivi hamnaga nyingine mpya kama hizi za leoleo? π€£π€£π€£π€£Hizi ni ufukara wacha zako wewe.., yaani raiya wakaiwaida ambaye sio maskini kwa kigezo cha Tanzania hii ndio maisha yake..,
Ground ya maisha ya mtu asiye maskini Tanzania.., na hii ndio 80% ya jiji...,
View attachment 2344124
View attachment 2344112
View attachment 2344102
View attachment 2344103
View attachment 2344122
View attachment 2344123
View attachment 2344107
View attachment 2344108
View attachment 2344109
View attachment 2344110
View attachment 2344111
View attachment 2344104
View attachment 2344105
View attachment 2344106
Wacha tuingie google earth tuone kiwango ya mabati house in Uthiru.., un atafuta vitu vichache kwa google mimi nawapeleka pale penyewe kupitia satellite images.., 2022.., yaani Tanzania mko nyuma sana
Yani pichaq za kitambo bado unatamba nazo.., takataka leo zipo kesho zimezolewa, kabisaa umeshindwa wewe..,Hizi pictures za miaka 20 iliopita hivi hamnaga nyingine mpya kama hizi za leoleo? π€£π€£π€£π€£
View attachment 2344130View attachment 2344131View attachment 2344132View attachment 2344133View attachment 2344134View attachment 2344135View attachment 2344136View attachment 2344137View attachment 2344138View attachment 2344139View attachment 2344140View attachment 2344141
Niliwahi kusema hili, kwamba nyumba za chini hazitufai, kwa sababu watu binafsi hawawezi jenga basi nhc, tba watumishi housing nk ziwezeshwe ili sehemu kama tandale, vingunguti wachukue hayo maeneo wajenge maghorofa kwa style ya magomeni waliovunjiwa wanapewa apartments kadhaa zinazobaki wanauza au kupangisha.Ni kweli, ni aibu mji wenye watu 6Milioni tu wanaishi mpaka 40km radius from the city, je tukifika 20Milioni tutafika wapi? Ujenzi wa nyumba za chini umepitwa na wakati na ni hatari kwa upatikanaji wa makazi bora ndani ya miji yetu? Ni muda sasa wa kuamka na kuanza kujenga apartments za kutosha, watu milioni 6 walitakiwa wasifike hata Kawe, Mbagala wala Gongo la Mboto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kunyaland ukiondoa hizi nyumba za mabati 80% ya wakunya watarudi mapangoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2344071
So hizo ndiyo slums according to you, na kwnn unaleta picha za mawinguni? Picha za mawinguni huwa zinafanya New York na Washington ziwe sehemu moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar 2022 Satellite images.., link: Google Earth
View attachment 2344184
View attachment 2344185
View attachment 2344186
View attachment 2344187
Mkuu nyumba za chini huwa hazikosekani popote pale duniani.Niliwahi kusema hili, kwamba nyumba za chini hazitufai, kwa sababu watu binafsi hawawezi jenga basi nhc, tba watumishi housing nk ziwezeshwe ili sehemu kama tandale, vingunguti wachukue hayo maeneo wajenge maghorofa kwa style ya magomeni waliovunjiwa wanapewa apartments kadhaa zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tutajikuta dar na pwani zimeungana ila kuna watu 10m hii ni matumizi mabaya ya ardhi.
Tukiendelea hivi vizazi vijavyo vitakuja kosa sehemu za kulima tuwe tunaagiza vyakula Toka nje.
Kuna nyumba zinajengwa Dom za low quality mimi huwa naona wagejenga maghorofa kama ya medeli, wamechukua eneo kubwa sehemu ambapo wangejenga maghorofa manne tu.
View attachment 2344161
Sio kwamba takataka zitaondoka, bali Kenya nzima ni takataka, ardhi chafu, mabarabara machafu, nyumba chafu, mazingira pia machafu.Yani pichaq za kitambo bado unatamba nazo.., takataka leo zipo kesho zimezolewa, kabisaa umeshindwa wewe..,
Hapa [emoji116] pako nafuu sana kuliko picha ya pili..., fanya uchambuzi kilaza..., ni 2022
View attachment 2344153
View attachment 2344155
Hapa ni sehemu Dodoma 2022..,
View attachment 2344156
View attachment 2344158
Huko kwingine nyumba za chini ni za ghali sana mtu wa kawaida ku afford, ziko chache, sisi nchi nzima imejaa nyumba za chini.Mkuu nyumba za chini huwa hazikosekani popote pale duniani.
Hizo nyumba ni block na zina paa, ni kubwa na zina barabara, haya linganisha na hizi mud huts za Nairobi π€£π€£π€£π€£Yani pichaq za kitambo bado unatamba nazo.., takataka leo zipo kesho zimezolewa, kabisaa umeshindwa wewe..,
Hapa π pako nafuu sana kuliko picha ya pili..., fanya uchambuzi kilaza..., ni 2022
View attachment 2344153
View attachment 2344155
Hapa ni sehemu Dodoma 2022..,
View attachment 2344156
View attachment 2344158
Wewe primary school dropout hizi sio apartments. π€£π€£π€£π€£ Wacha kuandika vitu hujui ili uonekane mjanja.
Ni nini? π π πWewe primary school dropout hizi sio apartments. π€£π€£π€£π€£ Wacha kuandika vitu hujui ili uonekane mjanja.
Rudi shule wacha uvivu.π€£π€£π€£Ni nini? π π π