Nilikwambia kwamba hapa utaamua kunyamaza mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha kaa na ujinga wako, hii Nchi ina watu wa hovyo sana hata uwatengenezee vipi, kwanza najisahaulisha kuwa unamapenzi nikikujibu tena niite Mbwa
Hivi msingi wa kuazishwa huu mradi wa Anwani za makazi ulikua ni nini mpaka leo sijapata majibu.. kama hivyo vielekeza mitaa vinavunjwa tu hovyo.. hii ni Sinza👇View attachment 2341231hizo bilions zilizotumika hapa mrejesho wake kwenye uchumi wetu ñi upi.? Lakin mbona sisi watanzania wa kawaida hizi Anwani za makazi sio vipaumbele vyetu.? Viongozi vilaza kama kina Nape Nauye wanafanya nini ofini?
Kuwa na City_proper limits kubwa haimaanishi mji ni mkubwasiongei kuhusu maghorofa. naongea kuhusu area (km²) encompassing city-proper limits
🤣🤣🤣Nilikwambia kwamba hapa utaamua kunyamaza mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Many...............very many. Which is the 5 star hotel in Arusha anyway?
This one here in Naivasha for instance is 5-star - Enishapai resort.
View attachment 2341266View attachment 2341269
...........and Mombasa has 5-star hotels too. This is Sarova Whitesands, a 5-star.
Pride Inn Hotel is another 5-star in Mombasa
Serena Beach Hotel is another 5 star in Mombasa
You are showing us google ratings instead of actual hotel ratings? You do realize ratings change every year don't you?None of those hotels is a 5-Star hotel,
I stayed at Sarova whitesands mwaka 2017, it was more of a 3-Star hotel at then,
Buda wacha kuforce mambo, ama Shule kichwani kwako haiko? Why don’t you google ?View attachment 2341313
View attachment 2341314
View attachment 2341315
Proud of the KDF for offering a helping hand to the impoverished Tanzanians. These poor people do not have access to the amazing health care that we have here in Kenya and one that we take for granted.
Akili ndo ulinyimwa kenge wa blue.
haimaanishi mkubwa aje! yet city-proper is the overal built-up area of a town or city and hence the populated area..Kuwa na City_proper limits kubwa haimaanishi mji ni mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanapenda kujikwaza Kumbe utopolo.
🤣🤣🤣🤣 Kwa kuziangalia tu, hizo hotels sio five star mzee .. nimeingia mkoani google nikaona ni utopolo mtupuYou are showing us google ratings instead of actual hotel ratings? You do realize ratings change every year don't you?
Wewe tafuta watu ligi yako ubishane nao - akina Ichoboy na fake bond 7. Hapa ni watu wamesoma.🤣🤣🤣🤣 Kwa kuziangalia tu, hizo hotels sio five star mzee .. nimeingia mkoani google nikaona ni utopolo mtupu
Imeweza sana!! Juxtaposed between upper hill, express way, Railways golf club and CBD. It's going to be a very photogenic place!!Kazi imefanywa hapa sawa sawa
You are showing us google ratings instead of actual hotel ratings? You do realize ratings change every year don't you?
US bado sana kwa China mkuu, hilo tulishalimaliza.Usigotee China chungulia kidogo na kws mkubwa US utajifunza kitu
Huwa wanasema sijui S. Korea ipo vzr kuliko China lkn jana nmekutana na mkorea nkamuambia Korea ipo vzr sn akasema yah iko vzr, nikamuuliza Korea na China ipi iko vzr, jamaa kwa kinywa chake akaniambia China iko vzr sn, yn mkorea mwenyewe akakataa kabisa nilipomuambia nchi yake ipo vzr kuliko China just imagine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sorry to say this.. kwenye dunia ya leo US ni joke Bro.. ndio mana tukibishana humu mtakimbilia kwenye masuala ya military supremacy
Watu tupo serious wewe unaleta uchale, sawa Charlie Chaplin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma can't even handle Tatu yet you are here dreaming about Nairobi.
Charlie Chaplin [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]GOK collects more than $1B from Safaricom yearly the remaining goes to paying of salaries and other expenses. In other words 90 % of what Safaricom is earning remains in Kenya.