joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Lugha tukufu ya KiswahiliAkili za GDP ya $150B reasons anything..., endeleeni kunifunza lugha tukufu la Kiswahili., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
🚮🚮🚮🚮FINAL RESULTS
KISUMU 10... ARUSHA 6,
KISUMU WINS,,,🎉🎊🎉
KISUMU NI NOMAAAA💪💪
Arusha ni tourist City haiwezi kuwa na residential apartments zenye ziko kama Kambi za wakimbizi au mabweni ya watoto wa shule..😃😃Mmeonyesha mahoteli, there's nothing like this in Arusha. Kama unapinga leta density ya residential buildings like this from Arusha.
Kisumu.
View attachment 2339145
Kwa mbaali walau Nakuru inaweza karibia Arusha kwa mandhari ila huko Nako hakuna hata tall buildings kama za Arusha..the british planned nakuru, kisumu, eldoret, nairobi, harare, bulawayo, blantyre, lilongwe, lusaka, ndola, pretoria, jozi, port elizabeth, east london, durban, windhoek, gaborone... using the The British Standards ie. (BS Standards ISO) and left!🏃🏽🏃🏾♂️
naxvegas and port elizabeth or east london in SA are one thing, i mean same morphology☝🏽
my take:
the meaning of having a larger gdp is reflected in each and every aspect, eg. even in the planning and organization of cities like kisumu, nakuru or eldoret for instance)
for your information, nakuru is the 3rd largest city in kenya after nbi and msa.
naxar👇🏽 ni kiboko ya arusha🤣🤣View attachment 2339303View attachment 2339308View attachment 2339300View attachment 2339299View attachment 2339301View attachment 2339302View attachment 2339200View attachment 2339201View attachment 2339202View attachment 2339203View attachment 2339204View attachment 2339205View attachment 2339209
🤣🤣🤣 Tumji twaoKwa mbaali walau Nakuru inaweza karibia Arusha kwa mandhari ila huko Nako hakuna hata tall buildings kama za Arusha..
Yaani Arusha inapiga tumiji twenu twote nje ndani.
Sir yes sir 👐 ✌️😂Lugha tukufu ya Kiswahili
Sio
Lugha tukufu la Kiswahili
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 Hii Kisumu hapana kwa kweli
Nyumba za watu wa kawaida je? debate ilikua hapa, mbona mmekwepa? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Arusha ni tourist City haiwezi kuwa na residential apartments zenye ziko kama Kambi za wakimbizi au mabweni ya watoto wa shule..😃😃
Kwahyo unataka kusema hatujapost nyumba za watu wa kawaida humu.? Tumepost hotels na magorofa tu.?Nyumba za watu wa kawaida je? debate ilikua hapa, mbona mmekwepa? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Uliza swali ilo sio swaliDoes Arusha have Fire station?[emoji23][emoji23]
Nyumba za watu wa kawaida Tzn ndio kwao sio kama huko kwenu kila nyumba ni ya bwanyenye..Nyumba za watu wa kawaida je? debate ilikua hapa, mbona mmekwepa? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Huto tumji twenye mabweni na vijumba vya kufanana hata Stand hakuna..🤣🤣🤣 Tumji twao
Yaani ni zero...maana nazijua, hamuwezi post humu, ni aibu, inaitwa TKO kwenye first round!😂😂😂, mchezo uliisha pale mwanzo nilipo wa dare to post as Kisumu, ama unazo wewe tofauti? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 basi na wewe ungebadilisha mjadala uwe wa posh estates na hotels or resorts.., ili msiumie sana, ila mmenyooka sasa, ata kama hamtaki kuonyesha, akili zenu zimepata kujua ukweli, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwahyo unataka kusema hatujapost nyumba za watu wa kawaida humu.? Tumepost hotels na magorofa tu.?
Anataka kila kitu tubishane, na hapo ningebisha siku tatu mngejadili Airport tuUnajua huyo ni mpumbavu sana, alitegemeaje Arusha iwe na uwanja mkubwa wakati kuna KIA ipo hapo pembeni, kutoka Arusha airport mpk KIA ukikaza unatembea kwa mguu, sasa huyo alipaswa kwanza kutupongeza kwamba Tz tuna maendeleo makubwa.
Nyumba za watu wa kawaida Tzn ndio kwao sio kama huko kwenu kila nyumba ni ya bwanyenye..
Kama wewe utakuta unakaa kwenye mabanda ya mabati afu unashangilia kota za mzungu 😁😁
"$ 30 bln pledge"!We have positioned ourself to benefit from $ 30mln pledge from Japan👇
Unapiga kelele mingi kama mbwa kichaa 🤣🤣🤣 Unaweza leta makazi ya watu wa kawaida from Kisumu kama haya in ARUSHA yenye this level of decent 👇Yaani ni zero...maana nazijua, hamuwezi post humu, ni aibu, inaitwa TKO kwenye first round!😂😂😂, mchezo uliisha pale mwanzo nilipo wa dare to post as Kisumu, ama unazo wewe tofauti? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 basi na wewe ungebadilisha mjadala uwe wa posh estates na hotels or resorts.., ili msiumie sana, ila mmenyooka sasa, ata kama hamtaki kuonyesha, akili zenu zimepata kujua ukweli, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂