Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ww naona una akili ndogo ufahari sio kuishi kwenya apartment uku kila mtu ana land yake na nyumba na bonge la shamba.. ni suala la mtazamo tyu huo najua kwenya amna ardhi
_20220624_192907.JPG

hii ni mwanza naomba usianze kupiga kelele kila mtu anaishi kwenye kiwanja chake
 
Hivi hamnaga picture nyingine tofauti na hii? 😂😂😂

Hii ndio CBD, hii ndio residential 😂😂😂

Hamuwezi kuleta kitu kama hiki!

Working Place
View attachment 2338585

Resting Place
View attachment 2338586
Umeanza kulia na battle Bado haijaanza😂😂🤣. Itachukua Arusha na Mwanza 100 years to get to the level of Kisumu in terms of residential area.

Enjoy Kisumu

tapatalk_1578760379644 (1).jpeg
 
ww naona una akili ndogo ufahari sio kuishi kwenya apartment uku kila mtu ana land yake na nyumba na bonge la shamba.. ni suala la mtazamo tyu huo najua kwenya amna ardhi
Usijaribu kukwepa na vijisababu uchwara, nyie mlio na land nionyeshe nyumba za raiya wa kawaida kwa mitaa za Mwanza na Arusha kwa hayo mashamba un ataja mnazo, hizo nyumba mwenzako ame post ni za kifahari sio za raiya wa kawaida, yaani ni posh estate., mwenzako ameshindwa kuleta mitaa za raiya wa kawaida iwe Mwanza ama Arusha., wewe unazo uweke humu kwa wingi?.., kama hizi hapa za Kisumu., siongei kuhusu posh estates.., kama zipo post, kama hazipo fyata 😂 😂 😂 😂 😂 alafu kisumu land inakosa vipi?..,
1661779665673.png

1661779725910.png

1661779750477.png

1661779762426.png

1661779801684.png

1661779812731.png
 
Sasa hawa waseng. wanajua huo ukweli lkn wanajifanya kuanzisha battle ya kisumu vs Arusha ili kuikimbia Arusha alafu wabongo nao wanaingia mkenge.
Saidia wenzako.., mitaa za kawaida tu post humu kwa ukubwa na upana.., domo domo wacha kule vijiweni.., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom