Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa imetoka kwa residential umeingia kwa mahoteli?😂😂🤣🤣 Battle imekuwa moto ama?
Hawa watatapa tapa., wakishindwa niwateremshie google earth niwafunze jinsi Mwanza na Arusha zilivyo mitaa ya raiya tofauti na propaganda zao😂😂😂😂😂
 

Naona mmeishiwa. Enjoy more of Kisumu.

1655211369728.jpg
 
Usijaribu kukwepa na vijisababu uchwara, nyie mlio na land nionyeshe nyumba za raiya wa kawaida kwa mitaa za Mwanza na Arusha kwa hayo mashamba un ataja mnazo, hizo nyumba mwenzako ame post ni za kifahari sio za raiya wa kawaida, yaani ni posh estate., mwenzako ameshindwa kuleta mitaa za raiya wa kawaida iwe Mwanza ama Arusha., wewe unazo uweke humu kwa wingi?.., kama hizi hapa za Kisumu., siongei kuhusu posh estates.., kama zipo post, kama hazipo fyata 😂 😂 😂 😂 😂 alafu kisumu land inakosa vipi?..,
View attachment 2338578
View attachment 2338580
View attachment 2338581
View attachment 2338582
View attachment 2338583
View attachment 2338584
Huu mbanano Ukiwa vingunguti ni slum lakini Ukiwa Kisumu ni cream de la creame 😂😂😂

Screenshot_20220829-163801.png
 
Mji huu au Mwingine? 😂😂😂

View attachment 2338593View attachment 2338594
Wapi Mwanza ama Arusha? Kisumu ni sisi tuna post, na wewe leta Mwanza ama Arusha., Kenya tuwachie sisi, umeshindwa? tunawanyonga wazi wazi, hakuna what Kisumu has in those two towns in Tanzania,😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
"Eastlands" ya Kisumu yani makazi za hustlers kama wewe, yaani average living tu.., sio zile mitaa za kifahari.,
Kwani nani kakwambia yeye ni 'hustler' 😂😂😂

Mbona mnafikiri tunafanana? 😂😂😂😂
 
Nikuulize, tokea January hadi leo hii, tofauti ya USD to TSHs ni ngapi? ina maana hauelewi financial markets wewe, licha ya internal factors, kuna global factors why the dollar is bullish. Dollar kwa sasa iko very strong against all major global currencies, sembuse Kenya ama fukara kama Tanzania? tazama vile dollar imenyorosha pound, Australian dollar na Euro.., tokea mwanzo wa mwaka, trend ni downward.., check the charts.., kisha weka hapa chart ya Tanzanian shillings against the dollar tuone, a net importer country za third world kwa sasa pesa yake haiwezi kukua strong than the dollar..,

Pound against US dollar
View attachment 2338442

Australian Dollar(AUD) against USD
View attachment 2338443

Euro against USD
View attachment 2338446

Tazama vile Yen imekula kichapo kutoka kwa Dollar, from January.., kutoka 105 hadi 138!!.., unadhani ni mchezo!
USD against Japanese Yen (JPY)
View attachment 2338448
Hahah.. ndiomana ulisema Una umri chini ya miaka 30 na unapesa kuliko mondi
 
Back
Top Bottom