Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
I can post ours, just post yours then leave the rest to me. I didn't know you are such a coward.Nimeleta idea but I can also start showing off what you guys have back to your village centers
I can post ours, just post yours then leave the rest to me. I didn't know you are such a coward.Nimeleta idea but I can also start showing off what you guys have back to your village centers
Magufuli in his grave.According to who.?
Kwani ukianza utakufa mzee.?I can post ours, just post yours then leave the rest to me. I didn't know you are such a coward.
Why should I start yet the idea was not mine? Baadala ya kuipiga kelele hapa ungeshapost ya kwanza 😂😂Kwani ukianza utakufa mzee.?
Okay let me help you.. the only three buildings with over ten storeys in Kisumu so far 👇Why should I start yet the idea was not mine? Baadala ya kuipiga kelele hapa ungeshapost ya kwanza 😂😂
Pole sana, you always want your wish to be true😂😂😂. This is Three in one. So far ni 6 to Arusha 3Okay let me help you.. the only three buildings with over ten storeys in Kisumu so far 👇View attachment 2337321vs ARUSHA 👇View attachment 2337328View attachment 2337331View attachment 2337332View attachment 2337333.. next .?
Kwamba haya ni magorofa matatu tofauti ama.? 🤣🤣🤣Pole sana, you always want your wish to be true😂😂😂. This is Three in one. So far ni 6 to Arusha 3
View attachment 2337337
Mirage Palace.Over ten storeys buildings in ARUSHA
4-18 storeysView attachment 23373355-12 storeysView attachment 23373366-14 View attachment 2337342.. Teargas. Njoo huku ulipe from your village centers
Do you really know how to count floors? Hadi 8 floors unaeka unadhani utatuchanganya?😂😂7-10 storeys View attachment 23373468-10 storeysView attachment 23373479-10 storeys View attachment 2337348.. Teargas umekimbilia wapi.?
Now let me be serious with you, these are two buildings and not three, the first two pictures are one building. So so far you posted six to Kisumu 7.Okay let me help you.. the only three buildings with over ten storeys in Kisumu so far 👇View attachment 2337321vs ARUSHA 👇View attachment 2337328View attachment 2337331View attachment 2337332View attachment 2337333.. next .?
Umemuambia ukweli,Bro! Hivi vitu vya tozo is not a joke! Acha mambo ya hovyo! Lazima kuwe kuna deep dialogue kuhusu hili Jambo. Watu wanaumia sana. Mimi nikiwa mmoja wapo.
Nikiweka laki ya mauzi yangu ya siku mpesa, nikituma benki nakatwa 4999, kesho nikitaka kuitoa niongeze stock dukani nakwatwa almost 10,000.
Yani 100,000 nikiingiza kwenye mfumo wa kibenki inakuwa sio laki tena ni 85,000.
Mimi nauza ice lollies Azam. Moja ni 500.
Ukigawanya Kwa hiyo 15,000÷500=30.
30 ndio idadi ya ukwaju kwenye box.
Hiyo ni kila siku bro!
Sasa hapo jumlisha na kodi ya frem, jumlisha na umeme, jumlisha na kodi za TRA.
Babu please!..........kaka wewe hazikuumizi stop mocking others!
It's not funny anymore! This is a very serious matter!
Yani ukipost kitu anaenda anakigoogle polepole usijue ameumwa. Sahi amepata hiyo Coloho Hotel anadhania eti sio mall ni Hotel. 🤣 🤣 🤣Hii unamaanisha nini exactly? Mbona sikuelewi
Umeongea kwa uchungu sana...Mimi ninawashangaa Sana watanzania wanapowaruhusu wakenya kuwaingiza katika "battle" zisizokua na maana yoyote katika uchumi wa nchi, hasa raia wa kawaida, hivi "Malls" Zina umuhimu gani katika maisha ya raia wa kawaida?.
Kuna Mambo ya maana ya kulinganisha yenye impact kubwa kwa watu wengi Kama masoko, usambazaji wa maji vijijini na mijini, kilimo na uvuvi, Mambo ambayo yanajibu shida za raia wa Kenya na Tanzania walio wengi, huko wakenya hawataki kabisa kuzungumzia, wameshikilia Malls ambazo 95% zipo katika majiji makuu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😂😂😂Umeongea kwa uchungu sana...
Sana.Halafu mji hauna makuu umecool tu,na huu uwekezaji unaoendelea hasa gesi na mafuta utaupendezesha zaidi na kuuchangamsha kwa mapato.Lindi mitaa imenyooka mzee.
Huyo haiwezi kukuelewa maana anasema anasifia kwasababu ananufaika na huu uongozi, siyo mzalendo analinda tumbo lake hata kujibishana naye unapoteza nguvu zako bure mkuu.Bro! Hivi vitu vya tozo is not a joke! Acha mambo ya hovyo! Lazima kuwe kuna deep dialogue kuhusu hili Jambo. Watu wanaumia sana. Mimi nikiwa mmoja wapo.
Nikiweka laki ya mauzi yangu ya siku mpesa, nikituma benki nakatwa 4999, kesho nikitaka kuitoa niongeze stock dukani nakwatwa almost 10,000.
Yani 100,000 nikiingiza kwenye mfumo wa kibenki inakuwa sio laki tena ni 85,000.
Mimi nauza ice lollies Azam. Moja ni 500.
Ukigawanya Kwa hiyo 15,000÷500=30.
30 ndio idadi ya ukwaju kwenye box.
Hiyo ni kila siku bro!
Sasa hapo jumlisha na kodi ya frem, jumlisha na umeme, jumlisha na kodi za TRA.
Babu please!..........kaka wewe hazikuumizi stop mocking others!
It's not funny anymore! This is a very serious matter!
Umemuambia ukweli,
Pia inawezekana ukawa unajibishana na jobless anaye lala na kula kwa wazazi wake hivyo hana maisha anayoyajua




