Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutana na majengo manne which ar over ten storeys underway in ARUSHA currently 👇 12 storeysView attachment 23372542View attachment 23372563View attachment 23372574. 17 storeysView attachment 2337269uko kwa hawa mbuzi kwenye hizo village centers zao ni vichekesho you 🤣🤣🤣 .. Teargas unaiona chuga.?
You are bragging of four while Kisumu almost 12 buildings each above 10 floors are coming up.

Makasembo 9 buildings each 10 floors.
images (27).jpeg
images (26).jpeg

20220828_122944.png
20220828_123113.jpg
20220828_122911.jpg
20220828_122913.jpg
20220828_123552.jpg
20220828_123614.jpg
 
Tanzania has the lowest inflation rate across EAC , endeleeni ku post mall..

Haters wa Mwiguluconomics mnaitwa huku
Bro! Hivi vitu vya tozo is not a joke! Acha mambo ya hovyo! Lazima kuwe kuna deep dialogue kuhusu hili Jambo. Watu wanaumia sana. Mimi nikiwa mmoja wapo.

Nikiweka laki ya mauzi yangu ya siku mpesa, nikituma benki nakatwa 4999, kesho nikitaka kuitoa niongeze stock dukani nakwatwa almost 10,000.

Yani 100,000 nikiingiza kwenye mfumo wa kibenki inakuwa sio laki tena ni 85,000.

Mimi nauza ice lollies Azam. Moja ni 500.
Ukigawanya Kwa hiyo 15,000÷500=30.

30 ndio idadi ya ukwaju kwenye box.

Hiyo ni kila siku bro!

Sasa hapo jumlisha na kodi ya frem, jumlisha na umeme, jumlisha na kodi za TRA.

Babu please!..........kaka wewe hazikuumizi stop mocking others!

It's not funny anymore! This is a very serious matter!
 
Bro! Hivi vitu vya tozo is not a joke! Acha mambo ya hovyo! Lazima kuwe kuna deep dialogue kuhusu hili Jambo. Watu wanaumia sana. Mimi nikiwa mmoja wapo.

Nikiweka laki ya mauzi yangu ya siku mpesa, nikituma benki nakatwa 4999, kesho nikitaka kuitoa niongeze stock dukani nakwatwa almost 10,000.

Yani 100,000 nikiingiza kwenye mfumo wa kibenki inakuwa sio laki tena ni 85,000.

Mimi nauza ice lollies Azam. Moja ni 500.
Ukigawanya Kwa hiyo 15,000÷500=30.

30 ndio idadi ya ukwaju kwenye box.

Hiyo ni kila siku bro!

Sasa hapo jumlisha na kodi ya frem, jumlisha na umeme, jumlisha na kodi za TRA.

Babu please!..........kaka wewe hazikuumizi stop mocking others!

It's not funny anymore! This is a very serious matter!
Kwa nini ulaumu tozo wakati inajulikana siku zote kwamba kufanya transactions za Mitandao ya simu na banks huwa makato ni makubwa siku zote tozo imekuja tuu kuongezea na kinachokatwa kama tozo ni kidogo kuliko makato ya banks na mitandao ya simu?

Mwisho hakuna makato ya kutoa au kutuma laki moja yanafikia 10,000 maana zamani ilikuwa 6,000 hiyo 15,000 unaotoa wapi? Miamala unafanya peke yako?

Mwisho tozo ni muhimu sana na naunga mkono maana nyie mawatu was mjini mliwageuza watu WA Vijijini ndio wa kuwanyonya..

This time around tozo inaenda kuwanyfaisha watu wa Vijijini Kwa barabara za TARURA,maji via RUWASA,vituo vya afya nk..

Nachopenda zaidi hii miamala omewagusa watu wengi wa mjini ambazo miaka yote waliwanyonya watu wa Vijijini.. Yaani nilime mimi nipangiwe Bei na WA mjini..

Yaani nilitaka kupata huduma za afya nisafiri kwenye barabara mbovu zaidi ya km 100 wewe hapo Mjini una options kibao..

Samia na Mwigulu shikilieni hapo hapo hadi matatizo ya msingi Vijijini yamalizike na good enough wakati Wana introduce hizo transactions levy, Mwigulu alitolea mfano wa Vijijini na pia yaliyomkuta yeye binafsi..

Kiukweli nikiona kupe wa mjini mkilalama yaani nafurahia kinoma,mnadhani nyie ndio mna haki ya maisha Bora na huduma nzuri kuliko wa Vijijini?👇
 

Attachments

  • 20220828_132907.jpg
    20220828_132907.jpg
    183.6 KB · Views: 8
  • 20220828_132219.jpg
    20220828_132219.jpg
    278.3 KB · Views: 7
  • 20220828_132911.jpg
    20220828_132911.jpg
    155.7 KB · Views: 8
  • 20220828_132916.jpg
    20220828_132916.jpg
    257.5 KB · Views: 7
  • 20220828_132921.jpg
    20220828_132921.jpg
    139.9 KB · Views: 8
Sasa unaitisha battle na kwanza wewe ni muoga😂😂😂. Because you came up with the idea why can't you start?
Nimeleta idea but you can also start showing off what you guys have back to your village centers
 
Back
Top Bottom