Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aisee mrembo una mashairi na ngonjera nzuri sana nimekupenda sana[emoji112] [emoji112] [emoji112]

Nahisi unatamani sana Kenya lakini fukara hohahahe huna jinsi ya kufika huku ,ila Mimi najitolea kugharamia nauli makaazi na chochote kile utakacho hitaji .ukiwa tayari niarifu wakati wowote nitakupokea .Ila uwe na siku njema BIBI ,na uheshimu kakazo walio na uwezo kukushinda.
 
Nakuomba utume picha kama hiyo ya makaazi yenu tuone angalau sehemu kidogo tu
tz kwenye upigaji picha sio siri hatuna mtindo wakupiga picha kabisa.....ila maeneo ya makazi ambayo yapo kwenye mpangilio mzuri yapo mengi sana tatizo picha za aerial view hatuna....ndiyo maana nimekutumia video kidogo upate hata picha nasikitika sana wakenya kama nyie kuona hamuijui dar kabisa.....dar inamakazi mazuri zaidi ya hayo unayoyaobyesha kutoka nairobi......huku sisi tuna double yaani tuna estate kama zenu tena zetu zinamuonekano mzuri na vile vile tuna houses ambazo raia hujenga style ya nyumba aipendayo
 
kweli.....kabisa ila poleee sana nishawahi fika huko no new..[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapajanivutia labda nije kutafuta demu wakisomal next time
 
dont bother my brother...just do ur thing...stop quoting them...the fact remains...no city beats Nairobi here....
no new nairobi.......zaidi ya nyumba chakavu zenye sura mbaya kama yako[emoji13] [emoji13]
 
construction of private houses in dar es salaam:

dar es salaam is transforming
very fast.

apart from tall buildings,malls and apartments,new private houses are being built almost everyday while the older ones are renovated.

these transformations lead to the growth and sustainability of our construction sector.

NB:
we use cement bricks not stones like kenya (many houses in nairobi are built by stone bricks).

photos.
hapa kazi tu..tupo site "msee".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…