Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani, na una ubavu kudai eti mwanza ni kubwa kushinda kisumu 3×times!...!🤔🤔

haya basi, heb ona, ata nakuru inakunja mwanza 1.5×times basi

nb:
mwanza iko ligi moja na kisumu na eldoreti.! hiyo nayo lazma kieleweke☝🏽

with this advent of GoogleEarth, hakuna kukwepa chochote. kila kitu kinaanikwa wazi..

see for yourself👇🏽

 
Wacha domo domo those pictures are very clear, nimeweka picha na wewe jitee kwa picha..
 
Wacha mchezo kijana..
 
na nini... 🤷‍♂️🤷‍♀️ mbona hautaki kuongea...
This is Nyamhongolo bus terminal in Mwanza 👇 . Hizo bus terminals zipo mbili Mwanza (reginal bus terminals) nyingine ni nyegezi 👇 . Hizi buss terminals ni kielelezo tosha kwamba Mwanza is bigger three times to kisumu.. google the distance from one bus terminal to Another,mind you all those bus terminals are in the city of Mwanza.. guess ni ukubwa kiasi gani hadi jiji lihitaji buss terminals mbili.?
 
Mbezi ya kimara na mbezi beach panahitajika kila sehemu ijengwe malls kubwaa,,

Hii sector wadau wanaikwepa ila hizo sehemu naona kabisa kuna fursa
 
Mimi nasubiri tren za umeme zije..ndo nitaamini haya maneno yako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…