Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee. Hawa jamaa wako juu vibaya mno. Huyo teargas amepata wapi hicho ki article kinachomwambia Kenya wapo juu Afrika nzima? Hata South Africa nao chali kwao?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
nlisha kuambia awa ni wazee wa uongo na utapeli
 
Kwnn hujaweka picha kama alizoweka Sama boy 255 uliogopa nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni zile zile picha niliweka, nyie mnaongeza maneno kujaribu kukweza ukweli unao onekana kwa propaganda.., yaani liko wazi nyie bado sana...,
 
Hizi timu zetu soon utasikia Nike, Adidas, puma, NB, haoo wameingia.
Tutarajie kampuni nyingine za mafuta kugombania fursa ya kujitangaza kupitia kudhamin clubs zetu.. kama betting firms zinazofanya saiz.. good thing, big clubs tayar betting firms zishatia guu.. hii ni fursa kwa timu nyingine kupata mpunga wa kampuni za mafuta.. in few years to come naiona Namungo na Singida (timu za wakubwa serikaln😅) kupata deals za hayo makampun ya mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…