I took these pictures myself in mombasa... let me give your your peer, Nairobi you Just can't handle.Wacha ushamba wewe mbuzi, higher quality unaijua wewe, those ones are the cheapest pavers Bro, dunia nzima side works zinaka hivi 👇 China View attachment 2334689china👇View attachment 2334690View attachment 2334691Tanzania 👇View attachment 2334692View attachment 2334693
Tuliwakosea nn
Apa mori kabisa
City ya $8Bn private wealth inakuaje peer na Dar?I took these pictures myself in mombasa... let me give your your peer, Nairobi you Just can't handle.View attachment 2334948View attachment 2334952View attachment 2334953View attachment 2334954View attachment 2334956View attachment 2334957View attachment 2334958View attachment 2334939
Context my friend. Context. Dont just jump into things you know not... there's a reason why this platform enables replies/threadsCity ya $8Bn private wealth inakuaje peer na Dar?
U don't see any pavement haya mat.ako yako haya? [emoji116][emoji116]I don't see any pavement here.
Na ndiyo wamejenga reli ya umeme pekee EA.
Bado sana jengeni [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamebaki kuongeza matozo lkn wapiii mambo hayaendi mazee.Ii
Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.
Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
Kama mtoni mwanangu, alafu picha haina make up, ingekuwa jamaa flani lazima ungeona marangi rangi ya lipstick [emoji168]
We paka mjane 🤣🤣 huu ni upupu gani.? Chukua hii mombasa combine na Nairobi+ Kisumu bado zote hazitawahi fikia km za pavers za sidewalks zenye ziko Dar pekee..I took these pictures myself in mombasa... let me give your your peer, Nairobi you Just can't handle.View attachment 2334948View attachment 2334952View attachment 2334953View attachment 2334954View attachment 2334956View attachment 2334957View attachment 2334958View attachment 2334939
Wazee wa picha za uzinduzi mwaka mmoja ukifika tu hapatamaniki, pembeni pale panageuka dampo, wachafu sn Wakenya.Hope sakaja akitake over kutoka kwa nms ataendelea na hii kazi
Wamezidi ushamba hawa nyang'au.Hivi vitu kwenu ni vigeni wazee.? Mmeanza kufanya juzi.? Mnajisifia navyo sana why.?
Dhahabu na madini mengine yalikua yanakamatwa yakitoroshwa kwa makilo Kama sio kwa Tani za dhahabu karibia kila mwezi, baada ya kifo cha Magufuli, utoroshaji umekwisha ghafla, watu wote wameanza kutii Sheria za nchi kwa hiari, watu wameanza kuwa watakatifu, hakuna tena utoroshaji wa madini, waziri ni yuleyule ambaye enzi za Magufuli tulimuona akikamata wezi wa madini, hivi Sasa hakamati tena.Ii
Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.
Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
mbona kasaini alafu kachomoka, au katiwa mbaroni leo?😆😆😆😆 Hawa ndio tuliambiwa ni Wazalendo wa Chato ..
Kakoko wa TPA alikuwa untouched enzi za Mwendazake,atiwa mbaroni kwa ufisadi👇
Kama hatopewa heshima yake leo basi ataipata vizazi vijavyo, sisi wacha turudi kwenye default mode ya viongozi waleee.Dhahabu na madini mengine yalikua yanakamatwa yakitoroshwa kwa makilo Kama sio kwa Tani za dhahabu karibia kila mwezi, baada ya kifo cha Magufuli, utoroshaji umekwisha ghafla, watu wote wameanza kutii Sheria za nchi kwa hiari, watu wameanza kuwa watakatifu, hakuna tena utoroshaji wa madini, waziri ni yuleyule ambaye enzi za Magufuli tulimuona akikamata wezi wa madini, hivi Sasa hakamati tena.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Chizi huyo, amechanganyikiwa hajui analosema, nchi Yao uchumi umesambaratika, "costs of living" inasababisha nchi haikaliki kila mkenya anatafuta nchi ya kukimbilia kwenda kuishiUnakuaje na chuki mpaka unakua mpuuzi mzee.? Nchi yoyote ambayo bidhaa zipo bei rahisi that means uchumi wa hiyo nchi uko vizur, tunajiweza..