Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ndivyo Rais Samia ameboresha afya ndani ya mwaka mmja tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220824-142117.png
    75.4 KB · Views: 20
😆😆😆😆 Hawa ndio tuliambiwa ni Wazalendo wa Chato ..

Kakoko wa TPA alikuwa untouched enzi za Mwendazake,atiwa mbaroni kwa ufisadi👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220824-123829.png
    156.8 KB · Views: 21
Don’t say WE are proud of
Say HE is proud of,
Biashara ya muzungu why are you trying to associate with it ?
Besides, we don’t see those logs on the roads , where do the muzungu sell these things ?
The government organizations are buying them under buy Kenya build Kenya program
 
Sasa mbona ubishe something that can be confirmed via YouTube data???? Nyi watu husinya sometimes
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti & uzalishaji wa Mafuta na Gesi kimataifa Bwn. Al Cook.
Pamoja na ujumbe wake, Bwn. Al Cook ameambatana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Shell (Tanzania) Bwn. Jared Kuehl

#CloudsDigitalUpdates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…