Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa za youtube zinatoka kwa advertizers wa adsense. Youtuber wengi wakitanzania hutumia kiswahili, lugha ambayo kwa kiasi kikubwa haina advertisers wanao target audience hao. Hii inafanya wao (youtuber wa kitanzania) kutotengeneza pesa kama wenzao wanaotumia kiingereza.

Watanzania pekee wanaotengeneza pesa za maana kwenye channel zao ni hizi media kubwa kama global publisher ambapo makampuni makubwa ya kitanzania yanaweka matangazo kwenye video zao.
 
kwani payment ni based on language ama clicks? wacha kutulisha matango pori!
 
Southern Bypass is far better than Kimara - Kibaha highway, yaani the best highway kuwai jengwa Tanzania ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ hii sio Thika Superhighway watani, pia sio expressway, wala western bypass or eastern bypass..,



 

Hapa napingana na wewe.
Wabongo wanapiga pesa nyingi tu mjini youtube Kingine Tanzania kuna contents nyingi tu hadi kuvutia watu kutoka nchi zingine kufata content Tanzania.
Hapa bongo ni rahisi sana mtu kupata subscribes milioni moja, mfano mdogo wangu channel yake ina subscribes laki tisa kasoro.

Kuna channels za vijana wadogo wadogo wanapiga pesa za Google adsense kuliko hao uliowataja hapo.
Hao wakubwa wanapiga tu pesa kwenye matangazo local yale ya kuingia mkataba na kampumi.

Hapa Africa ni South Africa pekee ndo wanapiga pesa ndefu zaidi kwenye Google ads kwa sababu cpc yao ni kubwa mfano click moja unaweza pata 0.90$ na kuendelea...ila hapa EA wala usidanganyike na kingereza...wote tunacheza kwenye 0.01$, hadi 0.05$ per click.

So ili upige pesa inabidi u-target nchi zenye CPC kubwa.
CPC kubwa views wachache= pesa ndefu.
CPC ndogo views wengi= pesa ndefu.
Yu gerrit?
 
naomba msome vizuri hii kitu ina maana sana uwez kusema ww ni super power uku uwezi kuzalisha na kuexport nje shame on you kenyani.. mnaitegemea TANZANIA kwa kila kitu na amjui kufanya kazi
 
Kenya tuliwekwa league moja na South Africa last year..,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ