Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini ma road yenu machafu hivii?
pia hapa ni johannesburg, gauteng province..πŸ€”

as a tanzanian would actualy say, "mwanzo hapa😳 mi naona tu ghorofa za udongo, matope ya dongo kundu na mefi"

cc: The best 007 with laughter🀣🀣

nb:
kenya and south afrika has the same morphology. tunafanana kwa vitu vingi tu. infact thts wht most nigerians say everyday on their youtube channels.

imagin, i initialy though hapa ni kenyaland!πŸ˜†
 
alafu unionyeshe daraja la waenda kwa miguu la kenya linalo waka taa ucku i will die *****
Wapiìi daraja la kupitisha ngombe unategemea liwake taa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
na usisahau hio mall yenu 'Rock City Mall' ili designiwa na mkenyareΓ©.. ila bado kwa mall concept, bado mko nyuma saaana.. 50 years behind if am not so wrong..

heb imagin, mall ziko mingi sana kenya, kiasi kwamba mall ya nguvu kaa hii hapa, ina exist lakini ata wakenya wengi hawana habari kuhusu hii mall. 'The Signature Mall' πŸ€”

 
hivi nimecheka yangu yote na hizi porojo zako!!🀣

wacha kutu tungia hadithi wee mchizi wangu dogo 🀣🀣
 
We jamaa utaacha lini kutumia vitu low quality? Kila siku simu yako haina chaji na hii ni 99% ya Wakunya wa humu mnamiliki vitu cheap sana, mna maisha magumu mno.View attachment 2332826
Shame on you shida yako ni ushamba unakusumbua hebu wewe weka your expensive stuff tuone.. mtu ambaye anongelea status za watu most of the time he is the cheapest kwa group
 
Moshi ilishaifunga kipoison mdomo kitambo tu
Nje ya Dar, (na hiyo Dar yenyewe ni sehemu ndogo iliyo endelea) ni Kiswahili tu mtaandika humu, leo hii uongo na porojo haina maisha humu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mabarabara machafu kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wivu kisa hakuna ya ku level nazo nje ya Dar, yani zero responseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., tulieni porini iko siku mtachomoka, ni uchungu ila vumilia mjukuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…