Where is montave??????πππππππMeanwhile, Montave is proceeding faster than i ever expected
Here are a few photos i took, and forgive my addiction for cars coz i just can't resist taking a pic of a good car when i spot any, and as always nairobi doesn't dissapoint.
A maybach and a g wagon featured.
View attachment 591848 View attachment 591849View attachment 591863
Hio ndio montaveπππππππ
Hasira hasaraπππππππUnajivunia density yenye ghorofa zinafanana ka zote tena unplanned...haha
Pesa ya kupambana na baa la njaa wamekosa alaf anaropoka mtu anakwambia economy ni kubwa njaa inawaendesha leo miez 9 sasa hakuna nafuuππhata pesa ya kujenga footbridge hawana wakenya. sasa si waende tu china wakaombe loan ya kujenga footbridge hapo jameni.
Hasira hasara wahenga walisemaππππupanga hata umoja phase 2 estate inafunika mara mbili ....hii Dar yenu na Mombasa haina tofauti
Kwan unadhani sijui Dar? That is the one and only cbd u gotNdugu hapo kariakoo haipo wala upanga haipo magomen haipo ilala haipo etc hio ni posta tuπππ
Hahha pole sana ukinionesha where is kariakoo and upanga hapo ntakuona mtu wa maana sana show me plzπππππKwan unadhani sijui Dar? That is the one and only cbd u got
Sasa picha za Mombasa za nini hapa? Au za Nairobi zimeisha!?Mombasa
Hawa watu wanaelekea kubaya sanaNaskia kimenuka tena kwa majirani
View attachment 592016
Nakila wakizunguka hiyo mombasa yaoSasa picha za Mombasa za nini hapa? Au za Nairobi zimeisha!?
Aisee investors wote wanakimbia sasa na ndio walioshika economy yote ya kenyaπππππHawa watu wanaelekea kubaya sana
jana waliandamana wafuasi wa jubilee
nao Wafuasi wa Nasa wakapanga kwenda kuwa toa kwa nguvu
kisa hapakuwa na polisi wala Magari ya Rasha rasha kama inavyo kuwaga kwa Nasa
They are quite careful with their aeriel views.....lazima effects za kuficha uswazini ziwekweOne single shoot and you got the whole cbd and nearby slums
Hahaha hiyo gari ya mkopo ya madem wameandikwa kazi mwaka ya kwanza ndio unapost hapa...na mtaa imechakaa kama mukuru kwa Reuben. ....smhMzee wa iphone 7 tulishamuumbua siku hizi simuoni sanaπππ
Hapa ndipo Nairobi itakapojificha isijibu chochote BRT ikipita hapaPendeza sanaa.
Na hiyo barabara phase 3 ya brt ndo itajengwa hapo
Hahaha kariakoo has to be fixed kupunguza aibu...lol.Hii tunaipea tu umoja phase 2 iifunike proper...... wachaneni na Nairobi poor LDC dwellers. . Level yenu ni Maputo ama lilongweSiku mtajafikia Nairobi kwa idadi ya majengo unitag pia