Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamesema wamepunguza tozo. Kwan nan walizileta? [emoji23][emoji23][emoji1787].. si bora waziondoe kbsa kutatua tatizo. Eti tutulie [emoji23][emoji1787]
Tozo za kutoa hela bank ni wizi wa mchana
 
Chawa wewe kila uchafu wa awamu ya 6 lina halalisha
 
Mtindo huo ulianzishwa na Sukumagang kipindi cha Magufuli! Pitia vizuri hadidu rejea hutapata kipindi cha JK, Mkapa, Mwinyi ata Nyerere ikisemwa fedha zimetolewa na Rais!
Ni wakati hii serikali iachane na haya matamko
 
Mimi wakianza huu ujinga hua Maxima TV!
 
They import every processed product from Kenya.
Hivi wewe una akili au ni kichaa?, Kwani so mipaka ipo huru kwa bidhaa yoyote kutoka nchi yoyote kuuzwa katika nchi zote ndani ya EAC.

Whitedent tooth paste na Energy drinks za Tanzania zimejaa huko Kenya, hiyo haimaanishi kwamba huko Kenya hizo bidhaa hazitengenezwi, punguza uzuzu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
No slums while Dar yote is one big slum! Are you going nuts?
Waambie walioiweka ka Nairobi kwenye orodha ya miji yenye ma slums ya kutisha duniani waliisahau Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…