The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
1.Kulingana na comment yako ni kwamba Watz hawasafiri kabisa.Unaendeshwa na mihemko,Sasa kati ya wakenya na watz ni wapi walioongoza kusafiri?achana ushabiki mandazi
Lazima wao waje kwa wingi huku kwetu mana nchi yetu ni ya kitalii.Idadi bado wao wapo juu...angalia pande zote
Ha ha ha, duh.In your last election mliuana kuliko Kenya in 2013, 2017 and 2022 combined.
Pia kwakuongeza tu ni kwamba Wakenya wengi wanaokuja Bongo co watalii, wengi wao ni wanawake wanaokuja kujiuza Zanzibar na wanaume wengi wanakuja kutafuta fursa za ajira kwa kisingizio cha utalii.Idadi bado wao wapo juu...angalia pande zote
We jamaa bana.Haya sawaPia kwakuongeza tu ni kwamba Wakenya wengi wanaokuja Bongo co watalii, wengi wao ni wanawake wanaokuja kujiuza Zanzibar na wanaume wengi wanakuja kutafuta fursa za ajira kwa kisingizio cha utalii.
Huo ndiyo ukweli mzee, wanapita pale airport wadada wengi wa kikenya wanaenda Zenji kutafuta wanaume wa kizungu.We jamaa bana.Haya sawa
Stop comforting yourself with old pictures when the building was still under constructionLies lies [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2328784View attachment 2328785View attachment 2328786
We jamaa English yako iko simple na nzuri sana...Yani mwandiko wako unasomeka bila tabu...Haya niambie ni material gani kwenye izo nyumba mana nimeona sana sijaelewaGood afternoon from America, coodip1
It’s 33 Celsius degrees where I am and I thought it would be nice to photograph the neighboring residential building with air conditioners.
View attachment 2328847
Kwnn uweke filter ndiyo upost? Nyie picha zenu bila filter huwa hamjiamini kabisa, haya niambie huku nyuma ya jengo kwenye haya matandabui a.k.a ma spider [emoji2765] mbn huweki picha yake tuone [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Stop comforting yourself with old pictures when the building was still under construction
View attachment 2328858View attachment 2328859View attachment 2328856View attachment 2328861View attachment 2328862View attachment 2328863View attachment 2328864
Angalia kazi sio personalityNape,makamba na mwigulu mama alitukosea sana Watanzania kuwapa nafasi tena
Chizi huyo pia ametoa taaarifa kuwa kipindi cha mama gharama za vifurushi vya data vimekuwa kuwa bora kwa gharama nafuuNdo wazir wenu huyuu.. too much ego na kiburi kama mbappe [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] nimiyeyusho sana huyo,chuma alijua kudeal na wanafki wale watu wanaopenda madaraka na kujipendekeza kwa walio juu yaoChuma alijua kuwanyoosha watu wa design hii [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2327810
Imekaa poa sanaThe 6th largest court building in the World
Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.Watanzania wanatazama hadi news za Kenya na unakuja kudanganya hapa. Kadoda (I don't know where he went to) used to share screenshot za TV stations za Kenya kwenye runinga yake humu ndani and many others I can't remember. Mini mnafatilia sana news za Kenya ndio maana wengi wenu mnajua hadi majina za mawaziri wetu. Mimi kuna wakati sikujua hata jina ya VP wenu