Hujaongelea suala la kodi na mm nmekuchokoza makusudi, Forbes wanaangalia kila kitu,huwez wadanganya ww ni tajiri hivi hivi, Mo analipa kodi 3+trillions kwa mwaka Sasa unalipaje kodi kubwa alafu usiwe mopao...Jamaa sio tajiri wa mchongo kama mnavyodhaniWapi nmeongelea suala la kodi?
Hawa watu ni vicheko. π€£ π€£Nasikia eti serikali inawajengea nyumba! Hadi kuna mmoja ananiambia eti maghorofa ya Magomeni yamejengwa na serikali.
Nikikumbuka kwamba Nairobi maghorofa yapo almost everywhere (residential areas) mengi ni miradi ya watu binafsi nabaki tu nikicheka
Tabia ya mtu ya kiuchumi huendana na mapato yake au mali aliyo nayo. Huwezi sema unafanyiwa kazi ukila bata wakati wewe ni maskini kutupwa. Tumia akili.Tumia akili uliyopewa na Mungu kwani mimi nimelinganisha majiji ama nimelinganisha tabia za watu. Sometimes huwa sikusomi IQ yako naona iko below par.
Mnashangaa maanake ni vitu hamjazoea. Hivo ndivyo ilivyo kwa airline karibia zote bradhee. najua ni maajabu kwenu maanake viwanda mmeanza kuvipata juzi juzi.Ndege yetu, wafanyakazi wetu, vyakula vyetu, abiria wananchi. Ndio maana ya uchumi mkubwa.
Kila mgombea kanunua stesheni yake π π hata hivyo raila ndo anashinda uhuru hawezi kukubali ruto aingie madarakaniJamaa wababaishaji sana, ukiangalia huku wanakwambia hiki ukienda kule wanakwambia kile yn hovyo hovyo, kura zinatofautiana kila sehemu.
Hawa watu mataahira kweli, TV stations ndio tallying stations kwenye dunia ipi? πππ
Kuna mkenya nmemuuliza leo kanipa za chini chini kwamba mzee anachukua nchi.Kila mgombea kanunua stesheni yake [emoji28][emoji28] hata hivyo raila ndo anashinda uhuru hawezi kukubali ruto aingie madarakani
"So what their makes you say so???"So what their makes you say so???
Nikipiga flashback ya nairobi ile ya mwaka 2006 nilikuwa nikipiga na bus Taofiq( falcon) ya sasa isebania-malindi dishes-namanga tukifika asubuhi, nNairobi ya kipindi hicho 2006! Kama ilikuwa vile! Sijui kwa sasa nitailinganisha na jiji gani hapa africa, labda kempton city SA. Wenzetu hawa walituacha kitambo. Flyovers kwao zilianza wayback!
Hatulali njaa kama nyie wala hatugombanii ugali kama nyie huku kwetu ni mwendo wa mboga saba tuu.Tabia ya mtu ya kiuchumi huendana na mapato yake au mali aliyo nayo. Huwezi sema unafanyiwa kazi ukila bata wakati wewe ni maskini kutupwa. Tumia akili.
Asante kwa kuwa mkweli ila utapigwa na wenzako huku wasiopenda ukweli.Nikipiga flashback ya nairobi ile ya mwaka 2006 nilikuwa nikipiga na bus Taofiq( falcon) ya sasa isebania-malindi dishes-namanga tukifika asubuhi, nNairobi ya kipindi hicho 2006! Kama ilikuwa vile! Sijui kwa sasa nitailinganisha na jiji gani hapa africa, labda kempton city SA. Wenzetu hawa walituacha kitambo. Flyovers kwao zilianza wayback!
Nakumbika hayo mabasi ya Tawfiq vizuri sana. Zillikuwa zinapita mjini kwetu yakielekea Nairobi kutoka Isebania/Sirare. Sijui zilikuwa ni za Kenya ama Tanzania. Hilo sikumbuki vizuriNikipiga flashback ya nairobi ile ya mwaka 2006 nilikuwa nikipiga na bus Taofiq( falcon) ya sasa isebania-malindi dishes-namanga tukifika asubuhi, nNairobi ya kipindi hicho 2006! Kama ilikuwa vile! Sijui kwa sasa nitailinganisha na jiji gani hapa africa, labda kempton city SA. Wenzetu hawa walituacha kitambo. Flyovers kwao zilianza wayback!
Mwaka huu watajua hawajui.Nyenyenyenye uchaguzi huru ππππ
Kumbe mijizi tu
Matukio gani hayo yakitokea yatasababisha uadimike hapa JF?, Usifanye hivyo Tony254, hii forum bila wewe itapooza sanaItabidi Mungu atusaidie. Mimi niseme wazi tu kwamba ikiwa matukio fulani yatatokea itabidi niadimike humu JF. Nitakuwa nakuja mara moja moja tu ila sio kila siku.
Zilikuwa ni za watz comred, tawfiq walibadili jina ni falcon sasa. Sijui. Na bus la takreem iliishia wapi!.Nakumbika hayo mabasi ya Tawfiq vizuri sana. Zillikuwa zinapita mjini kwetu yakielekea Nairobi kutoka Isebania/Sirare. Sijui zilikuwa ni za Kenya ama Tanzania. Hilo sikumbuki vizuri
Karibu sana mgeni ππππ tafuta maji ya kunya unywe alaf njoo tuongee sasaNikipiga flashback ya nairobi ile ya mwaka 2006 nilikuwa nikipiga na bus Taofiq( falcon) ya sasa isebania-malindi dishes-namanga tukifika asubuhi, nNairobi ya kipindi hicho 2006! Kama ilikuwa vile! Sijui kwa sasa nitailinganisha na jiji gani hapa africa, labda kempton city SA. Wenzetu hawa walituacha kitambo. Flyovers kwao zilianza wayback!
Kenya ndio nchi ya ovyo kabisa kwenye mambo ya uchaguzi ikiwa sensa tu pekee kulikua na majanga kibao sembuse uchaguzi πππ tangu lini mwizi akachaguliwa na kuchaguaNyenyenyenye uchaguzi huru ππππ
Kumbe mijizi tu