Nyinyi malazy mnangoja kufanyiwa kila kitu na serikali. Is that the reason jiji lenu limetekwa nyara na uswazi? Yani serikali ikujengee nyumba na wasipofanya hivyo utaendelea tu na maisha ya uswazi!!! So funnyKwani yale magorofa mapya ya magometi kota ilikuaje.?
Kuna nini tena huko ndg?Itabidi Mungu atusaidie. Mimi niseme wazi tu kwamba ikiwa matukio fulani yatatokea itabidi niadimike humu JF. Nitakuwa nakuja mara moja moja tu ila sio kila siku.
Imeshanunuliwa?! 😂😂😂 Alafu waliokuwa wakiisshi hapo sasa wanaishi juu ya miti au wameenda kuendeleza uswazi kwingine?Na vingunguti mnayoisema huku imeshanunuliwa yote wanajenga mji wa kisasa pale.
Hata mimi naona mzee nafuatilia the way the numbers are trickling down kuna kitu hakijakaa sawa ni kama mtu ana extrapolate! Haihitaji rocket science kujua hilo, kingine number zimesimama kwa muda! Niwaombee tu!Itabidi Mungu atusaidie. Mimi niseme wazi tu kwamba ikiwa matukio fulani yatatokea itabidi niadimike humu JF. Nitakuwa nakuja mara moja moja tu ila sio kila siku.
Safi sana.Hongera serikali kwa hili jambo.Hela imeshatoka mkuu walisema kabla ya mwisho wa mwaka kazi itaanza.
Nasikia eti serikali inawajengea nyumba! Hadi kuna mmoja ananiambia eti maghorofa ya Magomeni yamejengwa na serikali.Usijilinganishe na Waarabu wewe. Hivi hizo Uswazi zenu ulinganishe na haya majiji? Fanyeni kazi wacheni kuishi in delusions.
Tumia akili uliyopewa na Mungu kwani mimi nimelinganisha majiji ama nimelinganisha tabia za watu. Sometimes huwa sikusomi IQ yako naona iko below par.Usijilinganishe na Waarabu wewe. Hivi hizo Uswazi zenu ulinganishe na haya majiji? Fanyeni kazi wacheni kuishi in delusions.
Ndege yetu, wafanyakazi wetu, vyakula vyetu, abiria wananchi. Ndio maana ya uchumi mkubwa.Yani chocolate na coffee ndio inakutia kiwewe hivi? [emoji1787] [emoji1787]
Shida ni kwamba you live to look over your shoulders all the time mkiogopa Tanzania itawapita. Sisi hatuangalii mambo kama nyie the first, the biggest etc tunaangalia inclusiveness ya uchumi, economic diversification, availability of basic needs ( shelter, food and health,) na vitu vingine.Toxic relationship hatusaidiani ni kutakiana mabaya tu
We are socialist country remember that all citizens have their shares in the Government. It is a government of the people by the people and for the people unlike yenu shareholders wakubwa wa serikali ni capitalists the common people hawana chao ni kunyonywa tuu na kufukuzwa kwenye kila kitu kizuri mpaka kuishia kuishi kwenye slums with no food to eat.Nyinyi malazy mnangoja kufanyiwa kila kitu na serikali. Is that the reason jiji lenu limetekwa nyara na uswazi? Yani serikali ikujengee nyumba na wasipofanya hivyo utaendelea tu na maisha ya uswazi!!! So funny
Vipi IEBC wanataka kuchakachua matokeo?Itabidi Mungu atusaidie. Mimi niseme wazi tu kwamba ikiwa matukio fulani yatatokea itabidi niadimike humu JF. Nitakuwa nakuja mara moja moja tu ila sio kila siku.
Wamepewa hela ndefu at market prices those nearby the project wants to sell their houses too.Imeshanunuliwa?! [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu waliokuwa wakiisshi hapo sasa wanaishi juu ya miti au wameenda kuendeleza uswazi kwingine?
Huo ni uzembe, tena ya hali ya juu. Stop sugarcoatingWe are socialist country remember that all citizens have their shares in the Government. It is a government of the people by the people and for the people unlike yenu shareholders wakubwa wa serikali ni capitalists the common people hawana chao ni kunyonywa tuu na kufukuzwa kwenye kila kitu kizuri mpaka kuishia kuishi kwenye slums with no food to eat.
Hizo vitu zote mengi bado mpo nyuma sana. Your HDI figures are way below. Lakini kama ilivyo desturi yenu, utasema hayo ni maneno ya mzungu ya makaratasiShida ni kwamba you live to look over your shoulders all the time mkiogopa Tanzania itawapita. Sisi hatuangalii mambo kama nyie the first, the biggest etc tunaangalia inclusiveness ya uchumi, economic diversification, availability of basic needs ( shelter, food and health,) na vitu vingine.
Anaelipa kodi kubwa ni Mohamed dewji hayo ya bakhressa ni mahaba tu unayoHuyo ni tajiri kuliko Wakenya wote lkn co kwamba ni tajiri kuliko East Africa nzima. Tajiri wa EA Mo Dewji pekee ana utajiri wa $2bn according to Forbes, hapo cjamtaja Bakhressa ambaye kiuhalisia ni tajiri kuliko Mo japo Forbes hawajui.
Wamepewa hela waende wajenge uswazi kwingoneko? Ndio maana bado mtaendelea kukuza uswazi kwenye jiji lenu. The best model is where the original landowners are given the first priority in such houses, sio kuwaondoa waendelee kuenda makazi duni kwingine.Wamepewa hela ndefu at market prices those nearby the project wants to sell their houses too.
Jamaa wababaishaji sana, ukiangalia huku wanakwambia hiki ukienda kule wanakwambia kile yn hovyo hovyo, kura zinatofautiana kila sehemu.
Wapi nmeongelea suala la kodi?Anaelipa kodi kubwa ni Mohamed dewji hayo ya bakhressa ni mahaba tu unayo