Same ordinary dwellings za ushagonaliamsha dude:
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.
asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.
that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ukitaka kuamsha hasira za wakenya wanaoishi Nairobi,gusia issue hiyo...watakuchukia Sana.Wakenya wanaona ufahari kupanga apartment mjini na sio kimiliki nyumba ...HaHaha ufala wa kiwango

waposti zingine?..wazitoe wapi?...hawana ubavu huo.Hizi picha mmezirudia kuzipost zaid ya x100 sasa. Postn zengine basi, au mmeishiwa?
IMG_1846 by odilon irakoze, sur Flickr
IMG_2246 by odilon irakoze, sur Flickr
IMG_1792 by odilon irakoze, sur Flickr
