Kenya is not dependent country wacha porojo., mbona unaandika kwa maumivu hivyo? tuko na jeuri ya hela ndio maana tunasaidia wakulima wenu fukara angalau wapate hela ya kununua mafuta ya kupika na chumvi., nyie ndio mko dependent, hamujiwezi kivyenu ni ardhi yenu inawalisha kama wanyama pori vile, la sivyo mmekufa nyote! ama nadanganya? ukame ikitokea Tanzania itakua kama ile iliyofanyika Ethiopia miaka ya nyuma, yaani itakua a global issue kwa vile mnaeza kufa nyote msiposaidiwa π π π π angalia vile Dar inafanana? muonekano wa ufukara jiji karibia yote na ndio picha ya Tanzania karne hii, Tz ni aibu ya 21st century, with every thing and still among the poorest in the world.You don't need to be richer than Qatar, what you need is not to be dependent on human basic needs during this century.
Ni aibu kwa Kenya kujisifu kuwa na uchumi mkubwa wakati mnapokea misaada ya chakula na raia wenu bado wanasumbuka kupata chakula na wengine wanaokufa kwa njaa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kenya is more 'highclass', 'hightable', 'affluent', 'highprofile' in whatever angle you look at itSasa unapinga kwamba Kenya ni tajiri kushinda Tanzania??
Hakuna haja ya kushindanisha Nairobi na Dar au jiji lolote la Africa.Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Wee kwenda this was somewhere upcountry for a charity mission forester nation waliendaHaya compare na hii Nairobi thing [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2313460
Yes it is. Yes we are lower than the "Karen dwellers" your masters! Simply you are slaves in your country.kenya is more 'highclass', 'hightable', 'affluent', 'highprofile' in whatever angle you look at it
Saii ndio wajamaa wakona toyota 86 and weve had them since 2016[emoji1787]Enyewe hata mimi nimecheka. Eti vibakuli vinaenda Songea! [emoji2][emoji2]
Alafu ile kelele wanapiga hapa utadhani chiriku
Kwa hivo wewe keyboard warrior na yeye anayefanya kazi ya importation of vehicles tuamini nani kuhusu mambo ya vehicle importation?Mtu yeyote anaweza kupost video kama hio. Huyo aliepost hii video(anaeongea ni C. Lukosi) yeye ndio anaship vibakuli. Hana access na watu wanaoship magari ya maana kwasababu ambazo sitazisema hapa. Watu wanaingiza G wagons, Range Rovers na magari kama hayo kila leo from UK.
Punguza uchungu. Kama tumewashinda tumewashinda kwenye ukubwa wa uchumi.Yes it is. Yes we are lower than the "Karen dwellers" your masters! Simply you are slaves in your country.
Nani amemshinda nani? Mzungu wa Karen kwa Mtanzania. Au wewe landless wa reserve unayengojea kibarua kwa mzungu?Punguza uchungu. Kama tumewashinda tumewashinda kwenye ukubwa wa uchumi.
Kwa nini huwa mnashindia hili jambo moja la njaa? Ni kwa sababu tumewapiga kwenye mambo mengine yote sio?You don't need to be richer than Qatar, what you need is not to be dependent on human basic needs during this century.
Ni aibu kwa Kenya kujisifu kuwa na uchumi mkubwa wakati mnapokea misaada ya chakula na raia wenu bado wanasumbuka kupata chakula na wengine wanaokufa kwa njaa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahaha. Naona wewe ni mgeni huku na umekuja kwa uchungu mwingi. Fact inabakia kwamba Kenya ipo mbele yenu kiuchumi.Nani amemshinda nani? Mzungu wa Karen kwa Mtanzania. Au wewe landless wa reserve unayengojea kibarua kwa mzungu?
Wakianza hiyo vita Afrika tutakua na hali mbaya sana kiuchumi maana tunategemea kuimport vitu vingi kutoka China. Ndio kiwanda chetu AfrikaMimi nilidhani wamefire missiles into Taiwan. Kumbe wamerusha kombora ndani ya maji. Waoga hao Wachina.
jibu swali; nani amemshinda nani wee mtumwa ndani ya nchi yako. Huna shamba unategemea vibarua kwa mabwana zako halafu unajidai una uchumi. Upi huo?Hahaha. Naona wewe ni mgeni huku na umekuja kwa uchungu mwingi. Fact inabakia kwamba Kenya ipo mbele yenu kiuchumi.
but did you knw tht our wealth distribution or disparity between the rich and poor or rather in short the Gini Coefficient is the same as tht of tanganyika?Yes it is. Yes we are lower than the "Karen dwellers" your masters! Simply you are slaves in your country.
Tafadhali weka evidence tuone wakazi wa Karen kama 80% ni wazungu? ata 10% hawafiki., wivu na porojo zenu tunazijua.,Hakuna haja ya kushindanisha Nairobi na Dar au jiji lolote la Africa.
Wenye Nairobi ni wakazi wa Karen ( wazungu). Hawa jamaa mnaobishana nao ni watumwa tu ndani ya nchi yao! Wabishe hapa.
Huyo tutamlipua hapa akimbie.., ππππππππHahaha. Naona wewe ni mgeni huku na umekuja kwa uchungu mwingi. Fact inabakia kwamba Kenya ipo mbele yenu kiuchumi.
Kama hatuna shamba tunaishi wapi? Kwenye hewa???jibu swali; nani amemshinda nani wee mtumwa ndani ya nchi yako. Huna shamba unategemea vibarua kwa mabwana zako halafu unajidai una uchumi. Upi huo?
Sisi politiki za chakula tulishaachana nazo kitambo enzi za nyerere baada ya uhuru sasa hivi tunaangalia mambo mengineYou don't need to be richer than Qatar, what you need is not to be dependent on human basic needs during this century.
Ni aibu kwa Kenya kujisifu kuwa na uchumi mkubwa wakati mnapokea misaada ya chakula na raia wenu bado wanasumbuka kupata chakula na wengine wanaokufa kwa njaa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app