joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ukiacha maneno, maandishi na kujikweza, onyesha kwa mifano ya vitendo kuhusu uchumi wa Kenya.Mzee nyinyi mmetoka LDC juzi tulia. Sisi tumekuwa MIC miaka minane sasa. Kila mtu anajua Kenya ipo mbele yenu kiuchumi.
Wewe mimi sijawahi unga mkono ujenzi wa sgr hapa Tanzania maana mnajenga mapambo ya kufanyika siasa kwa watu wajinga ambapo mwisho wa siku ni tembo mweupe kama hiyo inayoendelea huko..Ni wewe au kuna mtu kakuandikia ....
Nlijua utasema anaupiga mwingi
Qatar ni more than 10Γ richer than Kenya. So hakuna cha kushangaza wakitupatia msaada. Ingekuwa aibu kubwa kama nchi masikini kutushinda kama Tanzania ingetupatia msaada. Uzuri huwa tunanunua chakula kutoka kwenu kwa pesa yetu.ππππ kwani njaa ni uongo ww huoni aibu nchi inapewa misaada ya chakula na nchi zenye jangwa kabisa
Rutto anazo helicopters 5, Bakhresa Hana hata Moja; what is your conclusion?Ukweli gani na bakuli mnaagiza kama magari ndio hizo mwenzenu kupost hapo juu [emoji2][emoji2]
Nyinyi ni kelele tu. Hamna ubavu wowote kujilinganisha nasi
Sasa unapinga kwamba Kenya ni tajiri kushinda Tanzania??Ukiacha maneno, maandishi na kujikweza, onyesha kwa mifano ya vitendo kuhusu uchumi wa Kenya.
Kati ya wakenya na watanzania ni nani wanaingia nchi ya jirani kwa wingi kwenda kufanya kazi ili wakidhi maisha Yao?.
Wakenya ukimbilia USA, UK, Canada, UAE, Tanzania, South Africa na Mauritius, jaribu kujiuliza kwanini hawapendi Ethiopia, Somalia, South Sudan, Uganda, Rwanda na Burundi kwa wingi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Why Kenyans musicians don't get many views from Kenya, why Tanzanian football clubs get more views than any other clubs in Africa apart from Al-Ahal of Egypt, do you want to say Kenyans also support Tanzanian football?[emoji23][emoji23][emoji23]Let me tell you something that maybe you don't know. YouTube viewership or subscribers sio hoja. Hoja ni kwba hizo viewership ama subscriptions zinatoka wapi.
Nitakupa mfano na mwanamziki wenu Diamond. According to YouTube Trends, Kenya drove most views for Diamond globally. Tanzania came at number two and the United States number three. Actually, up to 80% of his music views came from outside Tanzania!
The point is, those figures mean nothing if the majority of it comes from outside Tanzania, contrary to what you believe. In this region, Hakuna nchi inashinda Kenya in matters internet and internet penetration na nimejupa mfano na views za diamond hapo juu. So next time you see an increase in diamond viewership, know where they've come from
Yani kiingereza chenyewe unajua tu huyu boya hawezi kiandika. Labda hata hajaelewa kinachosemwa. π€£ π€£Copy pasting at its best.
Mtu yeyote anaweza kupost video kama hio. Huyo aliepost hii video(anaeongea ni C. Lukosi) yeye ndio anaship vibakuli. Hana access na watu wanaoship magari ya maana kwasababu ambazo sitazisema hapa. Watu wanaingiza G wagons, Range Rovers na magari kama hayo kila leo from UK.Ila hii video inanichekesha sana. Yani kila nikiitazama nacheka tu. π€£ π€£ π€£
Nyinyi ardhi munawapa wazungu wanapanda maua wanapeleka kwao nyinyi munakufa na njaa alaf unaizungumzia qatar ππππQatar ni more than 10Γ richer than Kenya. So hakuna cha kushangaza wakitupatia msaada. Ingekuwa aibu kubwa kama nchi masikini kutushinda kama Tanzania ingetupatia msaada. Uzuri huwa tunanunua chakula kutoka kwenu kwa pesa yetu.
Kununua sodo in Tanzania is seen as a financial luxury! Most women/girls have to do with homemade pads. True testament of poverty
Ndio ujifunze sasa sio kila siku unashnda hapa oooh mama anaupiga mwingi...Wewe mimi sijawahi unga mkono ujenzi wa sgr hapa Tanzania maana mnajenga mapambo ya kufanyika siasa kwa watu wajinga ambapo mwisho wa siku ni tembo mweupe kama hiyo inayoendelea huko..
Ila kwa kuwa mnataka sifa za kipuuzi na wajinga walio wengi wanawashangilia acha aupige mwingi maana ndivyo wajinga wanataka bila kujua ni mzigo mkubwa kutoa pesa za umma kuendesha shirika lisiloleta faida..
Reli zinapaswa kujengwa baada ya Uchumi kuhitaji reli sio ku bet.
Wewe aliyekwambia mimi huwa nakubali kila kitu ni nani? Hata nikiwa mfuasi wako au rafiki yako sahau.kwamba nitakuwa stamp wako so huna cha kunifundisha bali kawafundishe Sukuma gang..Ndio ujifunze sasa sio kila siku unashnda hapa oooh mama anaupiga mwingi...
Mimi nilidhani wamefire missiles into Taiwan. Kumbe wamerusha kombora ndani ya maji. Waoga hao Wachina.
Huko ni maji ya sehumu ya Taiwan, Kuna meli, boats na Mali za Taiwan. Hiyo maana yake ni kwamba hakuna ruhusa kwa majeshi ya Taiwan na washirika wake kufika katika hayo maeneo.Mimi nilidhani wamefire missiles into Taiwan. Kumbe wamerusha kombora ndani ya maji. Waoga hao Wachina.
Kenya ni tajiri "theoretically".Sasa unapinga kwamba Kenya ni tajiri kushinda Tanzania??
You don't need to be richer than Qatar, what you need is not to be dependent on human basic needs during this century.Qatar ni more than 10Γ richer than Kenya. So hakuna cha kushangaza wakitupatia msaada. Ingekuwa aibu kubwa kama nchi masikini kutushinda kama Tanzania ingetupatia msaada. Uzuri huwa tunanunua chakula kutoka kwenu kwa pesa yetu.