Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimo Biashara,ajenda 10/30.

Rais Samia kushuhudia utiaji Saini wa skimi za umwagiliaji πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220802-205444.png
    66.8 KB · Views: 23
Stop crying, EAC principle secretary is from Kenya, he has accepted the report, Kenya is a failed state.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mv mwanza hususan ni kwa ajili ya abiria inabeba zaidi y abiria 1200 na 400 tons of cargo uwe unatuliza akili kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mara ooh.. Gari chache.. Mara chakavu..

Tanzania imepata award kama mmnunuzi namba moja Afrika.

Eicher kama zote.. Usafiri wa umma wa uhakika. Sio mafuso ya kuchanga. View attachment 2312210
Ile cku niligundua idadi ya petrol station Kunyaland haikaribii hata kidogo idadi ya petrol station Tz ndio cku niliyojuwa kwamba hatushikiki kabisa kwenye suala la magari.
 
Kuona ni kuamini, cc Watz tunapenda mambo on ground, picha mbili za juu ni Mv Mwanza, picha ya tatu ni Mv kutu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…