kwa kipi kilichochaajabu hapo kenya......?[emoji15] [emoji1] [emoji1]matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
Ndio maana Dar ni unplannedlabda nikupe taarifa naona umechelewa, watanzania wengi wanamiliki majumba yao waliojenga kutokana na dream zao sasa nafkiri umefahamu point yanguπππππππ
Hiyo estate ni modern manNairobi
Onyesheni hizo nyumba wanazomiliki tuone.labda nikupe taarifa naona umechelewa, watanzania wengi wanamiliki majumba yao waliojenga kutokana na dream zao sasa nafkiri umefahamu point yanguπππππππ
Tunaishi kwenye mapangoOnyesheni hizo nyumba wanazomiliki tuone.
hio kazi aliifanya kadoda vzr kabisa alionesha nyumba nyingi sana zinazimilikiwa na common people in dar hope ulizionaπππππππππππOnyesheni hizo nyumba wanazomiliki tuone.
Hahaha Mchina Mungu anamuonaMay be, though it is not new, but oldy repainted one..
View attachment 590217
Icho wateme hawa hawana issue utapoteza muda kumridhisha nyang'aukigamboni dar
unafkiri ananisumbua bro mm hata siko nae kabisaπππππIcho wateme hawa hawana issue utapoteza muda kumridhisha nyang'au
Bora uendelee kupost vitu unavyotaka mwenyewe
hauruhusiwi ujenge utakavyo tu ilimradi .....ila mtu anaweza jenga nyumba ya dizain aipendayo....Ndio maana Dar ni unplanned
ukiruhusu watu wajenge watakavyo kwa cities...madhara yake ni unplanned baadaye.
Rick Ross posted this Huddah Monroe (kenyan) and even tagged her na hakuna mtu anaongea...