ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Dealership wewe ni mwehu kweli kununua gari ni lazma kuwe na dealership😂😂Nionyeshe dealership inayo uza hio Range Rover mpya bongo nifunge account sahii. Munanua mtumba kila kitu hadi suruali ya ndani.🤣🤣🤣
Tatizo lenu munajifanya wajuaji alaf hamunazo ulidanganywa na nani kua ukinunua gari lazma kuwe na dealership

