Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,756
ndo maanake Moldova hawapati usingizi maana nao ni vibaraka wa NATO!Yaani hawa Russia ni nuksi kuna mchezo unachezwa kijanja janja sana wanataka kuizunguka UKRAINE mwisho wa siku wajikute kati kati,,
Hii ni noma
Uzuri umeme tunazalisha wa kutosha na hata tukihitaji wa ziada tumeshajipanga kununua kutoka Ethiopia.Hata mahindi hamtakagi kununua ila huwa mnakosa jinsi maana njaa huwaanika uchi siku zoote!
Mchezo unaochezwa ni balaa naona hawataki pupa wanaenda kwa kurelax maana wangesema wapambane ile vita serious kuziachia ndege angani na makombola wangeshaichakaza mda Ukraine,hawa Russia tuwaache kama walivyo wanacheza na akili za walio nyuma ya ukrainendo maanake Moldova hawapati usingizi maana nao ni vibaraka wa NATO!
Tunajua nyinyi ni vibaraka wa Russia. Russia ameshashindwa hii vita. Alidhani atauteka Ukraine ndani ya siku tatu. Sasa hivi siku 150 zimeshapita na bado hajaiteka hata Donbass nzima. Bado 40% ya Donbass ipo mikononi mwa Ukraine. Russia alipigwa na kufurushwa Kyiv, Chernihiv na Kharkiv. Sasa hivi anapigwa Kherson.Mchezo unaochezwa ni balaa naona hawataki pupa wanaenda kwa kurelax maana wangesema wapambane ile vita serious kuziachia ndege angani na makombola wangeshaichakaza mda Ukraine,hawa Russia tuwaache kama walivyo wanacheza na akili za walio nyuma ya ukraine
Unajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.Leo nilipata nafasi ya kufika Agakhan 👇View attachment 2308104View attachment 2308105hii pedestrian bridge imekaa unyama sana, it's still underway tho... Kenya huwezi patana na pedestrian bridge enye Iko na lift. Tony254 Don YF
Issue sio kuwa na footbridge tu lahasha.! Issue ni kuwa na footbridge yenye liftUnajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.
Sidhani kama tuna yenye lift.Issue sio kuwa na footbridge tu lahasha.! Issue ni kuwa na footbridge yenye lift
Yeah and that's why nimepost hiyo yetu moja kwasababu nilikua najua kwenu hamna footbridge yenye lift, so siku mkijenga mkumbuke the first one Iko Tz ...Sidhani kama tuna yenye lift.
Nani atalipia bill ya umeme?Yeah and that's why nimepost hiyo yetu moja kwasababu nilikua najua kwenu hamna footbridge yenye lift, so siku mkijenga mkumbuke the first one Iko Tz ...
Wacha kelele leta footbridge yenye elevator huko Kunyaland! Yaani hata elevator sehemu ya kwanza East Africa kuwa na elevator ilikuwa house of wonders Zanzibar!Unajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.
Ha haaaaa,watu tunaongea uhalisia wewe unaleta comedyTunajua nyinyi ni vibaraka wa Russia. Russia ameshashindwa hii vita. Alidhani atauteka Ukraine ndani ya siku tatu. Sasa hivi siku 150 zimeshapita na bado hajaiteka hata Donbass nzima. Bado 40% ya Donbass ipo mikononi mwa Ukraine. Russia alipigwa na kufurushwa Kyiv, Chernihiv na Kharkiv. Sasa hivi anapigwa Kherson.
Cc ichoboy01
Mmh nafkiri hii bridge ni kwaajili tu ya staff wa Agakhan kwa kweli na wagonjwa labda, sidhani kama itatumiwa na watu random.. hayo ni mawazo yangu lakini, kwasababu hata hivyo hiyo bridge ni mali ya AgakhanNani atalipia bill ya umeme?
Imekaa poa sanaLeo nilipata nafasi ya kufika Agakhan [emoji116]View attachment 2308104View attachment 2308105hii pedestrian bridge imekaa unyama sana, it's still underway tho... Kenya huwezi patana na pedestrian bridge enye Iko na lift. Tony254 Don YF
Footbridge ya elevator ni upuuzi. Nani atalipia bill ya umeme kila mwisho wa mwezi?Wacha kelele leta footbridge yenye elevator huko Kunyaland! Yaani hata elevator sehemu ya kwanza East Africa kuwa na elevator ilikuwa house of wonders Zanzibar!
Aga Khan hospital hiyo inaunganisha pande mbili za wards za Aga Khan hospital!Footbridge ya elevator ni upuuzi. Nani atalipia bill ya umeme kila mwisho wa mwezi?
Exactly. Nadhani upo sahihi. Hii sio footbridge ya umma.Mmh nafkiri hii bridge ni kwaajili tu ya staff wa Agakhan kwa kweli na wagonjwa labda, sidhani kama itatumiwa na watu random.. hayo ni mawazo yangu lakini, kwasababu hata hivyo hiyo bridge ni mali ya Agakhan
Ooh. Sawa. Nilidhani ni kwa ajili ya umma. Ila kama ni hivyo basi ipo sawa.Aga Khan hospital hiyo inaunganisha pande mbili za wards za Aga Khan hospital!