Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa ona unajiabisha kwa fani ambayo sio yako. Mbona usikubali kupata masomo kutoka kwa Teargass na tuusan watu ambao wanafanya kazi kwenye health sector. Sasa neno "tidal volume" umeitumia kimakosa. Tidal volume haihusu damu bali inahusu hewa inayopitia kwenye lungs.

 
Usisahau The best 007 na Sama boy 255 walisema kwamba Tatu city bado ni kichaka na ujenzi bado haujaanza. Sasa nilikuwa nataka niwafungue akili kidogo.
 
Usisahau The best 007 na Sama boy 255 walisema kwamba Tatu city bado ni kichaka na ujenzi bado haujaanza. Sasa nilikuwa nataka niwafungue akili kidogo.
Nikwambie tu ukweli kwenye suala la education facilities Dodoma hamtoboi!

Hii ni shule ya serikali sio university ipo under construction



 
Tatu City haina facilities zenye zitaifanya uende bega kwa bega na city yoyote hapa EA tu mzee, mtaa wenye two schools, two industries and less than 1k people utaitaje City .? Haiwez pata hadhi ya town, Tatu is just a village with industries and two international schools, usiite tena City, Tatu has at least 100 years to achieve City status, kama ni kongani za viwanda (industrial parks) zipo mbili Pwani underway na hatuwezi ita cities
 
Threshold is 140/90 hiyo ndio cut off.
 
Huu ukichaa mwingine bhana 🤣🤣 hivi utaitaje haka kamtaa eti ni city.? 👇what I can clearly see down there is industries in the empty green fied, hii haiwezi pata hata status hata ya town in the next 30 years
 
Huu ukichaa mwingine bhana 🤣🤣 hivi utaitaje haka kamtaa eti ni city.? 👇View attachment 2306019what I can clearly see down there is industries in the empty green fied, hii haiwezi pata hata status hata ya town in the next 30 years
Ndo upumbavu wa Wakunya humu ndani!
Watu kama Tony254 huwa hawaoni aibu ya wanachoongea!
 
I didn't say diuretics are drugs against hypertension. You talked about fluid buildup due to CKD and that's why I came up with the diuretics.
 
Oyaa mimi huwa sipendi kutazama render. Macho huwa yananiuma. Kama ujenzi haujaanza basi subiri hadi uanze. Render ni miradi ya kwenye makaratasi. Ila battle imeisha. Obviously Dodoma imejengwa kwa miaka mingi so ipo mbele ya Tatu. Kila mtu anajua hilo.
 
Sasa wewe leo hii umekuwa daktari? Wewe mbona huwa una kimbele mbele sana? Hahaha. Kesho utakuwa pilot sio? Utatuonyesha jinsi ya kuendesha ndege. Teargass usibishane na huyu jamaa. Yeye ni expert wa kila jambo.
That guy is very weird. Kesho atakuwa anapingana na wewe in economics and the following day he will be arguing with Walker255 about astronomy. He is the kind of people who pretends to know it all.
 
Wewe umeshakuwa mgagagigikoko
 
Mbona mkaleta comparison ya shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…