Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa unabisha nn kusema Lake Tanganyika hakujenga wala kukarabati chombo cha majini?

Sijabisha, ila nilichosema ni kwamba aliishi kama raisi kwa miaka 5 na Tanzania imezingukwa na Maziwa mengi, Tanganyika tayari ina meli kubwa tu ya siku nyingi Liemba hivyo lilikuwa ni swala la muda tu baada ya Maziwa mengine kupata Meli hata Tanganyika ingepata Meli nyingine pia!
 
priority kwake ilikuwa Chato airport (gharama zaidi ya Tshs 120 bln) badala ya kujenga meli ziwa Tanganyika! Sasa bandari ya Karema inakamilika ila hakuna meli ya mizigo ya maana kupeleka mizigo upande wa pili hata Liemba na Mwongozo hazijafanyiwa matengenezo! Kama dual track rail ferry ingejengwa halafu line ya mpanda ikawa extended ikajengwa na TRC (Kadogosa aligusia hili) mpaka Karema hata kama ya narrow gauge mazungumzo yangekuwa mengine! The least i can say alikuwa very controversial!

 
Kama Samia Suluhu Hassan alivyopita kwenye vichochoro vya Diploma hadi kutokea Ikulu.
 

Labda unge question pia hao walioongoza miaka yote iliyopita pia kwa nini hawakuweka/kujenga Meli kwenye hayo Maziwa? Kumlaumu Magufuli kwa Ziwa Tanganyika kukosa Meli siyo fair!
 
Labda unge question pia hao walioongoza miaka yote iliyopita pia kwa nini hawakuweka/kujenga Meli kwenye hayo Maziwa? Kumlaumu Magufuli kwa kila kitu siyo fair!
The thing ni kwamba hao wengine hawakujenga ila huyo JPM alijenga ila kwa sababu anazozijua yeye si kwa malengo mapana ya kitaifa! Tuendelee kuhesabu miaka ya idle facility pale Karema mpaka meli ikijengwa!
 
The thing ni kwamba hao wengine hawakujenga ila huyo JPM alijenga ila kwa sababu anazozijua yeye si kwa malengo mapana ya kitaifa! Tuendelee kuhesabu miaka ya idle facility pale Karema mpaka meli ikijengwa!

Labda nikuulize swali kama haumind, ni wewe ndiye uliyepost picha kubwa ya Meli ya Mwanza ambayo ni project ya Magufuli 100%, na kujivunia nayo wakati huo huo unasema alijenga Chato tu na kumponda, sasa kwa nini unaposti Picha ya Meli ya kubwa ya Mwanza na kuwatambia nayo Wakenya kazi iliyofanywa na Magufuli wakati huo huo unamponda ? Kwa nini usiposti kazi za Samia au Kikwete labda na kujivunia nazo?
 
Alisaini miradi ya kujenga bandari na meli 4 Tanganyika na ukarabati wa MT Sangara na MV Liemba, zingatia alifia madarakani hivyo usimuhukumu kama Rais mstaafu
 
kwani ni pesa ya mfukoni ya Magufuli au Samia?
 
Alishapitisha kwenye budget ujenzi wa meli kubwa ya mizigo ziwa Victoria na Tanganyika ila mama yako ndio incompetent, mbona hujiulizi hata viwanja vya michezo Dodoma mpaka leo ni kama mradi umekufa?


 
kwani ni pesa ya mfukoni ya Magufuli au Samia?

Idea ni ya Magufuli, Magufuli ndiye aliyetoa wazo la kujenga Meli kubwa ya Mwanza, hivyo kwangu haingii akilini ukimponda wakati huo huo unaposti kila aina ya picha ya projects zote alizoanzisha Magufuli, kama Magufuli alikuwa mbaya kwako why posting project zake na kuwatmbia nazo Wakenya? Unaweza post projects alizoanzisha Kikwete au Samia pia ili uwe fair na unachokiamini!
 
Leta evidence JPM alitoa fedha zote za Mv Mwanza! Mimi nam-support mama kwa kutoa fedha na kuendleza ujenzi! HUyo JPM wako ni controversial kama kawa!
 
Huyo hajielewi, utashangaa ataanza kuwatambia wakunya mradi wa EACOP bila kujua bila Magufuli huu mradi Tanzania ingekua history, hata huyu zuzu Makamba anajikosha na viziara kwenye miradi iliosababishwa na wasiompenda

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…