Anakula ugali na mchemsho wa nyama,[emoji849][emoji849][emoji849],mapishi gani haya???Hahaha ukiacha mbali upishi wa chakula anachokula hasa mboga (hiyo kwa Tanzania ni supu watu wenye hangovers wanakunywa Asubuhi na sio mboga sababu ipo plain)
Kingine ni hivyo vyombo vya chakula [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilitumika Tanzania 1940s, zunguka Tanzania nzima hutoviona isipokua Magereza [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2297375
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo unga, nyanya na kitunguu cha hiyo supu vyote vimetoka Tanzania!
Umeiona hiyo nyama jinsi ilivyopauka?Hapo hakuna mapishi ni uchafu tu kwa sisi tunaojua vyakula kwa macho tu tunajua chakula kipi kitamu na kipi kibovu
Angalau hapa kidogo lakini siyo ile ya juu.ya kusukuma wikiView attachment 2297434
Hii nyama haina ladha imepikwa kilocal sana, imechemshwa na kutupiwa chumvi shaaa imeletwa mezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani ninyi kwenye kupika bado Sana [emoji28][emoji28][emoji28] sasa hiki chakula anakula binadamu au mbwa?
Mifupa yote hii ya kazi gani kwenye food for human consumption? Tanzania ni steak tu huwezi kuta hii kitu na ukiwawekea hivi watakususia, watu wanatakiwa wale kwa kurelax na kijiko na sio kupambana na mafupa ya dogi mezani, itakua vita hiyo sio eating [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] akitoka hapo mikono yote mafuta na kula mpaka akunje shati [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2297436
Walikuwa wanajiandaa kui roast mpishi akasahau procedure cha kuharibu zaidi nini akaileta hivyo hivyo mezani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ni nini Mkuu ? au wanajiandaa kuunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.
I saw that one 😂😂😂Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.
Ata mimi nilifeel ivo.Alafu most of the time alkua anaattack Kenyatta amabaye hakua hapo kujitetea..Tungoje ya marais next week itakua [emoji91][emoji91]Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karua is solid., may the best team win.
Kama ni darasa la Lugha ya Kiswahili hakika watushukuru sana, tumewafunza haswaaa [emoji106][emoji106][emoji106]Sio madondo ni mandondo.
Mombasa is very beautifulmombasa is awesome[emoji1419][emoji1419] from whtever angle u look at it
Nenda umdanganye Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mombasa is very beautiful
So ATCL has never existed before 3 years ago, kwani hii ndio mwanzo wa kuifufua, did you just admit ATCL is also a loss making airline[emoji1787]ATCL kila mwaka inapunguza loss kwa asilimia zaidi ya 30 na uzuri wa Air tanzania haina gharama za kulipa ndege za kukodi ina maana automatic loss inapungua sana
ATCL ni kampuni iliofufuliwa rasmi just 3 yrs na bado inafanya vzr kwenye kupunguza loss na bado investment inaendelea kwa sasa ndege 5 zimenunuliwa tena so bado tuko ndani muda mzuri wa investment
KQ inamiliki ndege ngapi chakavu naomba jibu lako [emoji23][emoji23][emoji23] na kwann loss imewaandama kwa sasa 10 yrs bila nafuu ukipata majibu nitafute plz
Kwa hiyo ndo umeanza kuyuonesha vyakula vya harusini [emoji1782][emoji1782][emoji1782]ila mnapenda sana ku highlight turkana, yani the negative only, ila mngelijua jinsi majority ya wakenya tunakula, nyote mngekimya.. ata muulize Shebby01 ama Lusematic, wanalifahamu kenya vyema, na kama kweli kuna utapia mlo, ukiondoa turkana (ikiwa kame)
View attachment 2297384View attachment 2297385View attachment 2297386View attachment 2297387View attachment 2297388
Watangaze mafia na kilwa hili wawekezaji kama hao wajeComing soon mkiambiwa level zetu ni Maldives mnabisha haya chacha[emoji116][emoji116]
So vita imehamia kwenye treni ya mkandarasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2297514
Ndilo hiliSo ATCL has never existed before 3 years ago, kwani hii ndio mwanzo wa kuifufua, did you just admit ATCL is also a loss making airline[emoji1787]
So before calling KQ loss making start by ATCL uwache excuse mingi wakibreak even ndio utuambie
Gachagua bottled it like i expected him to do. Someone said online that the sharpness of rigathi depends on your IQ. Martha was Sober, calm and airticulated herself meticulously.Gachagua did well than expected, but very evasive, kuna mtu alimpea points he was checking mwaks, he was cornered 😂 😂 😂 Karua is solid., may the best team win.