Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hapa Tony tumsubirie Putin kuwafurumushia mabomu maana alisema wakijoin NATO watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama anataka kuwapiga angewapiga saa hii kabla hawajajoin NATO. Wakishajoin NATO hawezi kuwagusa kwa sababu ya article 5 ya NATO. Natumai unafahamu article 5 ya NATO inasemaje?

Cc ichoboy01
 
Hivi vipicha vyote umeweka ndio vipicha hivi hivi mnavizungusha zungusha but kinachowaumbua ni hivyo vijengo lazima vionekane. Alafu hivyo vipicha vyote vinatokea hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Msosi umekamilika kasoro mboga moja tu hapo hiyo ya katikati ndio huwa sigusi. Ila ni kitu konki sana, nchi ya neema hii [emoji39][emoji39][emoji2956][emoji2956]

Upo kama mimi, na hata nikigundua vyombo vimetumika kupikia hiyo mboga bado nitaona kinyaa.
 
Wewe shida yako haupo open minded kama hawa wenzako,wanazungumza wazi kuwa tumewazidi sasa wewe endelea kukaza fuvu πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • S20709-100637.jpg
    66.7 KB · Views: 19
  • S20709-101150.jpg
    70.1 KB · Views: 19
Tofautisha sasa na hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ na iko kwa karibu ukilinganisha na hiyo ya Kenya.., tulieni na Mombasa, tusisumbuaneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Heshimu Mombasa The best 007 πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡



 
DON wewe huwezi kujua kwasbabu shule ulisomea Tanzania, wenzio waliosomea Keny ndio walikuwa wakiambiwa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu, mimi ni wa St. Kayumba πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
We unamsikiliza huyo kubwa jinga?
Mradi ni ushirikiano wa nchi kadhaa pesa imetoka afdb kila nchi ikisimamia mkopo kivyake!!
Haijalishi umetokea wapi lini...tunachojua ni jpm alisimamia pesa ikapatkana na kusimamia ujenzi hadi kufa kwake.
Kama ni kuchelewa tuulize hii serkali ilifanya nini kipindi cha mwaka 1 toka jpm afariki!!
Ni ujinga kuuliza kuhusu switch yard kua upande wa rwanda wkt hujui jeigrafia ya mradi....
 
Ungejua st kayumba ni zaidi ya hizo shule zenu za hapo machakos usingekuwa unaropoka
Tanzania tunaijua, nenda ukadanganye wenzako wa vijiweni na vihadithi uchwara ujifurahishe kilaza, uko uchi sana, nakuona kwa umbali πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…