Halafu ukiangalia idadi ya walaji ni wachache kuliko wingi wa chakula, kwahiyo hata ukila kwa pozi bado utashiba tu [emoji4][emoji4]Haha mnakula cha hamu tu we huoni ilo mixer lilivyokaa kimtego...mboga nyingi kuliko chakula[emoji3][emoji3][emoji3] ,my point is Tz tunakula na kusaza mana tunalima,nyie hadi unga mnawekewa ruzuku?SMH
Na ww upo nn ?? Kama upo na mm nataka kua mwanachama 😂😂
Ingia huko uniachie yule mnyama wa kijapenga cr..o. 😀Na ww upo nn ?? Kama upo na mm nataka kua mwanachama 😂😂
Range rover 2022 kwenu itafika 2030😂😂
Kama Baghdad mwanangu.Mombasa ni Dar mwanangu, mashambani Mwanza peleka Burundi kuleee.,
View attachment 2295584View attachment 2295585View attachment 2295587
Uliona icho tu?roho chafu kwelikweliYaaani hii barabara yote ni Giza!!!
No streetLights!
Ldc ya ukweli
Umekoma? Ulipandia SGR wewe wapi maskini wa mbeya?Sipandi tena hiyo sgr yenu nimekoma kabisa.
Hapa patamu [emoji897]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah hamna bana hii ndio uifananishe na Dar?Mombasa ni Dar mwanangu, mashambani Mwanza peleka Burundi kuleee.,
View attachment 2295584View attachment 2295585View attachment 2295587
Hivi v2 kwao ni hadi uende 3stars hotel sio mtaani,Kenya kwa msosi ni big NOView attachment 2295632
Hivi hao jirani zetu uwa wanakula ndizi choma na makange zaidi sima kweli
Hizi zinazotaja Kenya negatively huchelulewi kuleta huku. Lakini zinazotaja Tanzania negatively Ama zinarank Kenya mbele ya Tanzania zinapingwa na nguvu zote. Unafik wa kijinga sana!
And our neighbors think all this is just by coincidence 😂Truecaller's African Headquarters is in Nairobi, Kenya.
Google opened its first African product development center in Nairobi, Kenya.
IBM has a Research Lab in Nairobi, Kenya.
Visa's first African innovation studio is in Nairobi.
Bolt's African Headquarters is in Nairobi.
United Nations Environment Programme (UNEP)'s Headquarters is in Nairobi.
View attachment 2295839
View attachment 2295841
View attachment 2295843
View attachment 2295844