Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤩🤩🤩🤩

Mkunya umuoneshe maisha kama haya ni ngumu kuelewa



Mkunya muoneshe haya maisha ya kulundikana sehemu moja kama taka 😅😅😅

 
The pain goes straight to ichoboy01 in tandale😂😂😂View attachment 2295290
Huoni kama unajiaibisha? Yaani serikali yenu badala hiyo pesa ingepeleka kwenye kujenga miundombinu inapeleka kuwanunulia ugali Yaani mnakula stamp foods or under social welfare support program kitu ambacho ni kwa homeless people in US 😂😂😂
 
Data ni za 2020 kwamba ni 39.9,na wewe unaamini tupo hapo,hazijaongezeka?

WB wakisema mkoa wa Kilimanjaro ni mkubwa kuliko Tanga na wakaweka data utakubali kuwa ni sawa,huwezi kufikiri nje ya hapo kwa kuwa chombo cha kimataifa ndicho kimesema?
Kwani Wb wanatoa takwimu zao wap?Acha ubabaishaji
 
Huwezi elewa na IQ yako ya 68
 
Kaka cable zitakuwepo katikati hakuna kilichobadilika, angalia hii video utaona kati kuna gape, na hii sehemu ya katikati itawezesha feri na boat kupita
Oky ...maana toka yule mpumbavu aliye tuambia jpm alikuwa mkiuka sheria kisha na yeye majuzi kutangaza wazi kuwa treni za mitumba ndiyo kaagiza tena kinyume na sheria nilibaki kushangaa tu ...jpm alikiuka sheria kwa ajili ya maendeleo ...yeye anakiuka sheria kwaajili ya kuturudisha nyuma kwenye skrepa za mitumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…